Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Kuna wakati najiwazia hivi hii ndo Tanzania yetu ya cku zote ama ? Kila iitwapo leo ukiamka unakutana na jipya, vijana wa watu wanatafuta riziki zao ila wanaishiwa kukamatwa tunaenda wapi
Halaf kumbe jamaa alijidai kumwachia Ney ili tuone n mwema
Ila watz tuungane jaman tupige makelele yasije tokea kama ya Ben tena
Mungu awatie nguvu familia zao
bado haijafahamika kama ni upande wa serikali ndo imefanya hivi so plz bado mapema sana kujudge cha msingi tuombe awe salama tu ingawa kiuhalisia hayuko salama
 
Ina maana studio haikuwa na CCTV camera ili waonekane watekaji.
 
Hakuna taarifa iliyosema kakamatwa na polisi na ingekua polisi tungejua yupo kituoni

Kumbuka majibu ya yaliyotokana na mtu aliyemtishia Nape. Ndiyo maana nafikiri wasiwe polisi ila ni idara maalum. Swala la Tv kuchukuliwa halina utata kwani siku hizi kuna smart tv ambazo hufanyakazi kama computer hivyo ingewezekana wakawa wameacha jambo nyuma. Kama idara za kiusalama nadhani ni wakati muhafaka kututoa hofu kwa kutujulisha wako mikono salama kwa ikiendelea hivyo imani na vyombo hivyo itatoweka na kufikia mahali raia kuwakwamisha ktk utekelezaji wao wa majukumu.
 
Ina maana studio haikuwa na CCTV camera ili waonekane watekaji.
Bashite na genge lake hadi Leo wanadunda tu,aliyemtishia Nape bastola hadharani yupo tu. Acheni kuzidi kutia hasira watu ili waseme vibaya mpate sababu za kuwateka.
 
Kuna wakati najiwazia hivi hii ndo Tanzania yetu ya cku zote ama ? Kila iitwapo leo ukiamka unakutana na jipya, vijana wa watu wanatafuta riziki zao ila wanaishiwa kukamatwa tunaenda wapi
Halaf kumbe jamaa alijidai kumwachia Ney ili tuone n mwema
Ila watz tuungane jaman tupige makelele yasije tokea kama ya Ben tena
Mungu awatie nguvu familia zao
Ndani ya nchi kuna nondo mla watu. Ila huyu nondo atatumaliza jamani vinginevyo ni mungu aingilie kati tu na atunusuru hawa binadamu wenye roho ya shetani.
 
Ndani ya nchi kuna nondo mla watu. Ila huyu nondo atatumaliza jamani vinginevyo ni mungu aingilie kati tu na atunusuru hawa binadamu wenye roho ya shetani.
Amina
 
Bashite na genge lake hadi Leo wanadunda tu,aliyemtishia Nape bastola hadharani yupo tu. Acheni kuzidi kutia hasira watu ili waseme vibaya mpate sababu za kuwateka.
We acha tuu nchi imejaa uchafu.. Wananiboa sana wanaochagua CCM.. Nawaona mbumbumbu!!
 
"Ride Natty Ride"

Rub, rub, rubby-doo-day;
Rum-pum-pum a-rum-pum-pum-pum!
Dready got a job to do
And he's got to fulfill that mission
To see his hurt is their greatest ambition, yeah!
But-a we will survive in this world of competition,
'Cause no matter what they do
Natty keep on comin'through,
And no matter what they say-ay-ay-ay,
Natty de deh every day. yeah!
Natty Dread rides again,
Through the mystics of tomorrow,
Natty Dread rides again:
Have no fear, have no sorrow, yeah!

All and all you see a-gwan
Is to fight against Rastaman.
So they build their world in great confusion
To force on us the devil's illusion.
But the stone that the builder refuse
Shall be the head cornerstone,
And no matter what game they play,
Eh, we got something they could never take away;
We got something they could never take away:


And it's the fire (fire), it's the fire (fire)
That's burning down everything:
Feel that fire (fire), the fire (fire);
Only the birds have their wings, yeah!
No time to be deceived.
Oh, brothers, you should know and not believe:
Jah say this judgement - it could never be with water,
No water could put out this fire (fire):
This fire (fire), this fire (fire),
This fire (fire), a yaga y'all! Ride, Natty, ride!
Go deh, Dready, go deh,
'Cause now the fire is out of control,
Panic in the city, wicked weeping for their gold!
Everywhere this fiyah is burning,
Destroying and melting their gold,
Destroying and waisting their souls.

Go ride, Natty, ride!
Go deh, Dready! Go deh!

Tell you what: now the people gather on the beach
And the leader try to make a speech,
But the Dreadies understandin' that it's too late:
Fire is burning;
Man, pull your own weight!
Fiyah is burning;
Man, pull your own weight!
Natty Dread rides again (Natty Dread rides again);
And me say, Go deh, Dready! Go deh! (go deh, go deh)
Oh ride, Natty, ride! (Dread rides again)
And go deh, Dready! (Go deh, go deh)
Ridin' through the storm,
Riding through the calm (go deh, go deh).
Oh ride, Natty, ride!
Go deh, Dready, go deh!
Ride, Natty, ride!
Go deh, Dready, do deh! [fadeout]
 
Tuna
Kutoka kwenye Facebook wall ya Professor Jay................

"Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONY @moni_ centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana.

Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!"



View attachment 491654

Labda wanataka kuhakikisha kwamba hawajihusishi na biashara ya madawa ya kulevya.They probably don't want to live a stone unturned.
 
kuna ukawaida gani hapo?

Ukawaida uliopo hapo ni pamoja na watu kwenda kuchukuliwa na watu wa usalama na kurudi tena kuwapa watu haohao wa usalama wawatafutie au kuwapa report za watu wenu waliotekwa.. Ni kawaida yetu kuona raiya mwenzetu kakamatwa na polisi na tunarejea kuwaomba polisi haohao watusaidie kumtafuta.. ni hayo tu ndiyo mana nasema kawaida
 
We kweli kiporo ni kilaza tu. Inakusaidia nini kutetea utumbo na kusahau hata wewe kuna siku watakugeuka. kama Nape alitolewa bastola hadharani sembese wewe mbu tu.
mgongo wa shangazi yako.ulivyo kuwa na akili fupi kama maisha ya inzi chooni.unadhani kila anayepotea ni njama za magufuli acha ufala.roma apotezwe kwa lipi.
 
Back
Top Bottom