Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Hujui kutofautisha kati ya Roma na Harmorapa.Huo ndio ukweli mkuu ,Roma hajatekwa na mtu yoyote yule ila anatafuta kiki tu.
Ushaambiwa ROMA mpaka kuku na bata wanamjua, atafute kiki ya nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kutofautisha kati ya Roma na Harmorapa.Huo ndio ukweli mkuu ,Roma hajatekwa na mtu yoyote yule ila anatafuta kiki tu.
Hahaha akipotea ama akifa naona watavamia jamii na kuchukua data then watapekua nick name zote wakipata yako utashikiliwa kwa kutoa kauli za kumwombea kifo mtukufu faru fausta!!????Huyo faru fausta siwamuue tu m 64 kumtunza kwa mwezi wakati kwa sasa mahospitalini hata panadol Mpaka ukanunue nje ya hospital, hili taifa aliyeliroga nikiboko kabisa yani.
Alikuwa ameshafulia tayaliHujui kutofautisha kati ya Roma na Harmorapa.
Ushaambiwa ROMA mpaka kuku na bata wanamjua, atafute kiki ya nini.
Haya tumekusikia, kajifunze kuandika kwanza.Alikuwa ameshafulia tayali
Duu mkuu hata km una shaka basi ungebaki nayo si wakt muafaka huu. Utajisikiaje ukisikia maiti ya roma imeokotwa mahali. Weka akiba ya maneno ktk mambo sensitive km haya. Si lazima uongee na huo ndio uungwana.Wasanii wa bongo siwaamini,huyo amejiteka anataka kiki ya kutoa album tu
poleHaya tumekusikia, kajifunze kuandika kwanza.
Nimepitia mtandao mmoja ulioweka maelezo ya mke wa msanii wa music, Roma Mkatoliki akisema kwamba,.. "akipiga simu ya mumewe inaita lakini haipokelewi".....
Sasa Kama inaita, kwanini Police wasiifanyie hiyo simu tracking ili waweze kubaini alipo?
Nasema hwenda police wanajua, kwakua najua wao ndio wanaohusika na usalama wa raia wote, na vifaa vya kutrack mawasiliano wanavyo, so kwann hawajatoa tamko lolote, wala hawaonyeshi kama skendo hii ni kubwa ndani na nje ya Tanzania?
Roma sio wa kwanza kutekwa,... Police hwenda wanajua mpango mzima wa jambo hili.....Tanzania uhuru na amani ni tete.
Hahaaaaa mkuu unanichulia nipotee ka Ben Saanane tena mi sioni umuhimu wa mnyama kuliko binadamu, sasa hapo serikali haijali wananchi wake walipa kodi hyo si ndo inaleta laana yenyewe ya umaskini unaozidi kukithiri, million 64 ndefu juzi tu nilienda hospital panadol shida, had bandage sasa nikisikia upuuzi wa faru fausta, Mara John naona huo ni zaidi ya uchizi na ni aibu.Hahaha akipotea ama akifa naona watavamia jamii na kuchukua data then watapekua nick name zote wakipata yako utashikiliwa kwa kutoa kauli za kumwombea kifo mtukufu faru fausta!!????
Umeongea ukweli sana mkuu na wachache watakuelewa mkuu.Tatizo saiv kila mtu anakurupuka tu kutunga uongo wake ili mradi kaonekana mjanja. Hapo umeweka picha ya rais na makonda je wanahusikaje na suala la roma? Kwani roma hana maisha nje ya muziki kiasi cha kumletea maadui wa kumteka na kumlazimisha kile wakitakacho,je kama walidhulumiana pesa huko. Acheni kukurupuka
Kwa hio Roma anajificha afu mkewe kamuachia nani?Hajakamatwa mtu hapo . wamejificha tuu hao. Pumbavu.
Roma atakuwa kajiteka au katekwa na waliokuwa wanamtumia baada ya kuona sasa hivi ukitukana wala hukamatwi wanakuachia tu, sasa njia nzuri ya kutafuta sympath ni either kujiteka au kutekwa na wanaokutumia, wasanii chungeni sana msitumikeMkuu kuwa sirias basi inamaana hata nyimbo inaitwa mathematics hujawahi kuisikia kwa msiojielewa kama nyie ndo mnaona Roma hana kitu ila ni mwanaharakati hatari yule akiamua kuingia kwenye siasa nyimbo zake ni chachu hatari kwa bashite na magu wake
Mkuu roma si anaishi tanga na tongwa record ipo tanga.Hapo nadhani Magufuri ni rais wa Tanzania nchi anayotoka msanii Roma na Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar ambayo ni makazi ya msanii Roma.Kumbuka hiyo picha ni mkenya kaiweka kwenye page yake.Mengine tuwaachie polisi
Nchi hii wengi wanapenda ushilawadu kuanzia Raisi Mpaka Raia wake.Hivi kumbe na Mwigulu ni team " unabisha nini wakati Mange kasema " hapo ndipo Watanganyika wanaonekana watu wa ajabu na bado tupo Jangwani kutoka Egypt kuelekea Israel ya Ufahamu
Hapo nadhani Magufuri ni rais wa Tanzania nchi anayotoka msanii Roma na Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar ambayo ni makazi ya msanii Roma.Kumbuka hiyo picha ni mkenya kaiweka kwenye page yake.Mengine tuwaachie polisi
Bora na wewe mkuu umeliona hili.Hajakamatwa mtu hapo . wamejificha tuu hao. Pumbavu.