jo-sure josephat
Member
- Dec 6, 2016
- 34
- 54
"Alikamatwa Febuari 5 na Febuari 6 alichukua uamuzi wa kujinyonga kwa kutumia mshipi wa kaptula yake ya ndani"Mtu anajinyongeaje chupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Alikamatwa Febuari 5 na Febuari 6 alichukua uamuzi wa kujinyonga kwa kutumia mshipi wa kaptula yake ya ndani"Mtu anajinyongeaje chupi?
Kajinyonga na mshipi wa kaptura,kamba inayofunga kaptura au chupi kama mkanda!polisi ni wauji wasio na akili!
ona eti amejinyonga kwa kutumia chupi......au usikute polisi hawajui chupi ni nini?
Duh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].....!
Hilo hufanywa makusudi lakini hata zikiwekwa kuweza kuona footages za police brutality ni mtihani mkubwa, labda uwe na connections kali 'juu' lakini pia ujue zinaweza kufutwa au ukaambiwa ziliharibika wameshawasiliana na technicians ila bado hawajafika.Kwanini mahubusu hakuna kamera?
Upo kituo gani afande? Vipi mahabusu wengine walikuwa wanamuangalia tu huku wakichekelea?Kwanini si anavaa shingoni anapanda sehemu anajining'niniza?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na Ili nalo mkalitizame
Wewe vipi, nani kakutuma kuuliza maswali magumu?Hivi mahabusu huwa anakaa mtu mmoja kiasi kwamba anapojinyoga hakuna mtu anaona na kujaribu kuzuia?
Rijinga wewe, ore wako..Upo kituo gani afande? Vipi mahabusu wengine walikuwa wanamuangalia tu huku wakichekelea?
Ziwepo tu wapate kazi ya kufuta. Kazi ya kufuta zinaweza kuwafanya wafikiri kiasi. Ni sawa na mwizi anapoingia sehemu yenye mbwa, hata kama ni koko atakupa kakazi ka kumtaftia nyama asipige kelele.Hilo hufanywa makusudi lakini hata zikiwekwa kuweza kuona footages za police brutality ni mtihani mkubwa, labda uwe na connections kali 'juu' lakini pia ujue zinaweza...