Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Ilikuwa ni Pegeout 501 alitoka nayo Vitani Uganda akakataa kuilipia Kodi na Ushuru mpakani kwenye idara ya Forodha akijinasibu yeye ni DG wa Tiss.
Habari zilipofika kwa Nyerere akatimuliwa kazi!
 
Wakuu endeleeni kutumia code tujue vilaza pamaja na wale wa St Marry's humu na kwa stail hii uzi unapata utamu sio mpaka watoto wa sekondary waelewe, mi mi kizazi cha university bando ila nimeng'amua zote ila moja bado inanisumbua hio ya mzee keto sijui nimeshndwa kumjua kbsa, na kijipande cha comment kinacho sema "pro mwakysa na kingunge walimgaragaza mkinga if not mfipa pale chimwaga kupitia hao boys2men" hzo sehem mbili nikiri mmeniacha ila hzo tu hazitosh kuniacha nyuma ya uzi, japo atakae ng'amua hata kwa mbali atanisaidia kuchora mstari kamili mana una magep mawil.
 
Siyo dhamira ya mleta uzi asee

Vip DSTV nayo umeng'amua
 
Nimefika mpka Kate kwao hapo,alijenga vizuri tu kiasi kwamba ukipita lazima uulize huyu ni nani?
 
Kweli mkuu mimi nilikuwa najua siku hizi ukiingia JF unakutana na mataahira mengi lakini kumbe bado kuna vichwa vyenye madini ya kutosha.
 

Mjumbe huyu Mzee wa keto kwa natural ya Kazi yake sio rahisi kumjua hasa hasa hiki kizazi cha kuanzia miaka ya 1980 kwenda kizazi cha dot com licha ya kwamba arifariki miaka ya 2000 kwasababu bongo ili uwe mtu maarufu lazima uwe mwanasiasa kuhusu kumgalagaza mkinga huyu mmoja ya kada Wa chama mwenye msimamo usio yumba aliye tokea wilaya walio zaliwa marehemu Mchungaji Mtikila na Deo filikunjombe
 
Mm toka jana nimeachana na huu uzi, yanayoelezwa yapo coded sana hadi huwez jua nani anazungumziwa..πŸ™‚πŸ™‚
pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kO
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?
 
Mm toka jana nimeachana na huu uzi, yanayoelezwa yapo coded sana hadi huwez jua nani anazungumziwa..πŸ™‚πŸ™‚
pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kO
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…