Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Habari za kitine nikudokeze....alitoa amri Mercedes benz brand new itolewe kwenye contena wakati meli iko njiani kuja Tanzania kisa? Teacher alitonywa kuhusu ufisadi wake kununua Merc brand new limited edition from daimler kwenyewe....ilikuwa kwa pesa za miaka hiyo ina cost a fortune!!!!!

Mtonyaji after few regimes akaja fukuzwa kazi DSTV
Ilikuwa ni Pegeout 501 alitoka nayo Vitani Uganda akakataa kuilipia Kodi na Ushuru mpakani kwenye idara ya Forodha akijinasibu yeye ni DG wa Tiss.
Habari zilipofika kwa Nyerere akatimuliwa kazi!
 
Wakuu endeleeni kutumia code tujue vilaza pamaja na wale wa St Marry's humu na kwa stail hii uzi unapata utamu sio mpaka watoto wa sekondary waelewe, mi mi kizazi cha university bando ila nimeng'amua zote ila moja bado inanisumbua hio ya mzee keto sijui nimeshndwa kumjua kbsa, na kijipande cha comment kinacho sema "pro mwakysa na kingunge walimgaragaza mkinga if not mfipa pale chimwaga kupitia hao boys2men" hzo sehem mbili nikiri mmeniacha ila hzo tu hazitosh kuniacha nyuma ya uzi, japo atakae ng'amua hata kwa mbali atanisaidia kuchora mstari kamili mana una magep mawil.
 
Siyo dhamira ya mleta uzi asee

Vip DSTV nayo umeng'amua
 
Huyu Walingozi miaka ya nyuma niliwahi pita Namanyere pale mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukawa kuna nyumba moja nzuri kuliko zote kwa kipindi hicho inajengwa nikaambiwa ni yake lakini hv kama mwezi umepita nimepita kule nimeona ile nyumba maskini haikumaliziwa vizuri yaani hovyo kabisa imepauka tu nadhani mauti yalimfika kabla.

Bahati mbaya sijawahi jua chochote kumhusu zaidi ya kuambiwa ni mtu wa sys hata kifo chake nikajua ni kawaida tu.
Ila niliambiwa alijenga nyumba nyingine kiijini kwao huko Kate ipo juu ya mlima hivi..
Nimefika mpka Kate kwao hapo,alijenga vizuri tu kiasi kwamba ukipita lazima uulize huyu ni nani?
Huyu Walingozi miaka ya nyuma niliwahi pita Namanyere pale mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukawa kuna nyumba moja nzuri kuliko zote kwa kipindi hicho inajengwa nikaambiwa ni yake lakini hv kama mwezi umepita nimepita kule nimeona ile nyumba maskini haikumaliziwa vizuri yaani hovyo kabisa imepauka tu nadhani mauti yalimfika kabla.

Bahati mbaya sijawahi jua chochote kumhusu zaidi ya kuambiwa ni mtu wa sys hata kifo chake nikajua ni kawaida tu.
Ila niliambiwa alijenga nyumba nyingine kiijini kwao huko Kate ipo juu ya mlima hivi..
 
Kwa Huu uzi ndo nimeamin kweli great thinker wa Jf ya zaman bado wapo no wonder weng watoa point ni ma senior member kwa mbali ma expert member, yan kama akili yako ni zile za prease wait au network error utatoka kapa humu. Hupewi full info unapewa doti kazi yako kupiga mstari. Yan ni sawa unatolewa dar unapelekwa kigoma unarudishwa tena dar kabla hujatulia unatolewa dar unapelekwa kigoma ila watakaofika kigoma ni wale wenye pumzi tu wengne wataachwa pale Dom watarud dar kwa kwato.

LIVE LONG JF
Kweli mkuu mimi nilikuwa najua siku hizi ukiingia JF unakutana na mataahira mengi lakini kumbe bado kuna vichwa vyenye madini ya kutosha.
 
Wakuu endeleeni kutumia code tujue vilaza pamaja na wale wa St Marry's humu na kwa stail hii uzi unapata utamu sio mpaka watoto wa sekondary waelewe, mi mi kizazi cha university bando ila nimeng'amua zote ila moja bado inanisumbua hio ya mzee keto sijui nimeshndwa kumjua kbsa, na kijipande cha comment kinacho sema "pro mwakysa na kingunge walimgaragaza mkinga if not mfipa pale chimwaga kupitia hao boys2men" hzo sehem mbili nikiri mmeniacha ila hzo tu hazitosh kuniacha nyuma ya uzi, japo atakae ng'amua hata kwa mbali atanisaidia kuchora mstari kamili mana una magep mawil.

Mjumbe huyu Mzee wa keto kwa natural ya Kazi yake sio rahisi kumjua hasa hasa hiki kizazi cha kuanzia miaka ya 1980 kwenda kizazi cha dot com licha ya kwamba arifariki miaka ya 2000 kwasababu bongo ili uwe mtu maarufu lazima uwe mwanasiasa kuhusu kumgalagaza mkinga huyu mmoja ya kada Wa chama mwenye msimamo usio yumba aliye tokea wilaya walio zaliwa marehemu Mchungaji Mtikila na Deo filikunjombe
 
Mm toka jana nimeachana na huu uzi, yanayoelezwa yapo coded sana hadi huwez jua nani anazungumziwa..🙂🙂
pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kO
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?
 
Back
Top Bottom