Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Yaani kuielewa comment moja humu ni sawa na kusoma chand ya physics kweli wanafunzi tunataabu[emoji24][emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole [emoji23]Yaani kuielewa comment moja humu ni sawa na kusoma chand ya physics kweli wanafunzi tunataabu[emoji24][emoji24][emoji24]
Pia kama hujui siasa Uzi huu utatoka patupu,Humu kumejaa nahau sijapata kuiona.Kiukweli mpk Sasa sijaelewa maana ya neno "DSTV"...Yaani kuielewa comment moja humu ni sawa na kusoma chand ya physics kweli wanafunzi tunataabu[emoji24][emoji24][emoji24]
Ilikuwa ni Pegeout 501 alitoka nayo Vitani Uganda akakataa kuilipia Kodi na Ushuru mpakani kwenye idara ya Forodha akijinasibu yeye ni DG wa Tiss.Habari za kitine nikudokeze....alitoa amri Mercedes benz brand new itolewe kwenye contena wakati meli iko njiani kuja Tanzania kisa? Teacher alitonywa kuhusu ufisadi wake kununua Merc brand new limited edition from daimler kwenyewe....ilikuwa kwa pesa za miaka hiyo ina cost a fortune!!!!!
Mtonyaji after few regimes akaja fukuzwa kazi DSTV
Siyo dhamira ya mleta uzi aseeWakuu endeleeni kutumia code tujue vilaza pamaja na wale wa St Marry's humu na kwa stail hii uzi unapata utamu sio mpaka watoto wa sekondary waelewe, mi mi kizazi cha university bando ila nimeng'amua zote ila moja bado inanisumbua hio ya mzee keto sijui nimeshndwa kumjua kbsa, na kijipande cha comment kinacho sema "pro mwakysa na kingunge walimgaragaza mkinga if not mfipa pale chimwaga kupitia hao boys2men" hzo sehem mbili nikiri mmeniacha ila hzo tu hazitosh kuniacha nyuma ya uzi, japo atakae ng'amua hata kwa mbali atanisaidia kuchora mstari kamili mana una magep mawil.
Nimefika mpka Kate kwao hapo,alijenga vizuri tu kiasi kwamba ukipita lazima uulize huyu ni nani?Huyu Walingozi miaka ya nyuma niliwahi pita Namanyere pale mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukawa kuna nyumba moja nzuri kuliko zote kwa kipindi hicho inajengwa nikaambiwa ni yake lakini hv kama mwezi umepita nimepita kule nimeona ile nyumba maskini haikumaliziwa vizuri yaani hovyo kabisa imepauka tu nadhani mauti yalimfika kabla.
Bahati mbaya sijawahi jua chochote kumhusu zaidi ya kuambiwa ni mtu wa sys hata kifo chake nikajua ni kawaida tu.
Ila niliambiwa alijenga nyumba nyingine kiijini kwao huko Kate ipo juu ya mlima hivi..
Huyu Walingozi miaka ya nyuma niliwahi pita Namanyere pale mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukawa kuna nyumba moja nzuri kuliko zote kwa kipindi hicho inajengwa nikaambiwa ni yake lakini hv kama mwezi umepita nimepita kule nimeona ile nyumba maskini haikumaliziwa vizuri yaani hovyo kabisa imepauka tu nadhani mauti yalimfika kabla.
Bahati mbaya sijawahi jua chochote kumhusu zaidi ya kuambiwa ni mtu wa sys hata kifo chake nikajua ni kawaida tu.
Ila niliambiwa alijenga nyumba nyingine kiijini kwao huko Kate ipo juu ya mlima hivi..
Kweli mkuu mimi nilikuwa najua siku hizi ukiingia JF unakutana na mataahira mengi lakini kumbe bado kuna vichwa vyenye madini ya kutosha.Kwa Huu uzi ndo nimeamin kweli great thinker wa Jf ya zaman bado wapo no wonder weng watoa point ni ma senior member kwa mbali ma expert member, yan kama akili yako ni zile za prease wait au network error utatoka kapa humu. Hupewi full info unapewa doti kazi yako kupiga mstari. Yan ni sawa unatolewa dar unapelekwa kigoma unarudishwa tena dar kabla hujatulia unatolewa dar unapelekwa kigoma ila watakaofika kigoma ni wale wenye pumzi tu wengne wataachwa pale Dom watarud dar kwa kwato.
LIVE LONG JF
Amina inasemekana hajauliwa na mtu ila alikufa kwa Ngwengwe.naitamani hiyo ya dada Amina Chifupa aisee mana niliumia sana alivyoteseka hadi umauti [emoji22]
Wakuu endeleeni kutumia code tujue vilaza pamaja na wale wa St Marry's humu na kwa stail hii uzi unapata utamu sio mpaka watoto wa sekondary waelewe, mi mi kizazi cha university bando ila nimeng'amua zote ila moja bado inanisumbua hio ya mzee keto sijui nimeshndwa kumjua kbsa, na kijipande cha comment kinacho sema "pro mwakysa na kingunge walimgaragaza mkinga if not mfipa pale chimwaga kupitia hao boys2men" hzo sehem mbili nikiri mmeniacha ila hzo tu hazitosh kuniacha nyuma ya uzi, japo atakae ng'amua hata kwa mbali atanisaidia kuchora mstari kamili mana una magep mawil.
Angalia vizuri mkuu ni umbali wa 1500km kutoka pwani ya Afrika mashariki.Ilikuwa ni Pegeout 501 alitoka nayo Vitani Uganda akakataa kuilipia Kodi na Ushuru mpakani kwenye idara ya Forodha akijinasibu yeye ni DG wa Tiss.
Habari zilipofika kwa Nyerere akatimuliwa kazi!
pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kOJamanii mnapotaja mngoni, sijui nani wengine hatuelewi tumezaliwa 2000s ndo bado tunatafuta uelewa..
Msitumie mafumbo sana hatuelew chovhote wengine
Che Nkapa..pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kO
NimekusomaHivi umfahamu yule mzee ahapi kwa bible wala msahafu. Yupo hapo Haile Selassie anakula pension
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kO
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?pamoja na ujuaji wangu wote hadi Uzi unafika hapa sijamjua Mmakua ni nani ambaye boys2men walimtoa kwa kO
Wazanaki wanajadi hiyo ya kuchonga meno kama vile wamakonde wanavyojichora usoni. kwa hiyo magangwe wa wakati ule walimwita "mchonga meno" au mchonga kwa kifupi.Kwann mzee (teacher) anaitwa mchonga, kuna mwingine kasema meno ila sijaelewa, ufafanuzi tafadhari GTs