Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hili neno Dstv kila nikilisukumizia kwenye ubongo halikubali......watu tuna vichwa vigumu!!!wekeni mchuzi kidogo Wakuu.
Soma bandiko [HASHTAG]#931[/HASHTAG]! Jamaa katusaidia sisi Ndezi!
 
Hizi sio stori za juma na uledi..!

Hawaoni nondo nying zinashushwa wakati jua la bongo limezama..[emoji41]..

Deep reasoning and scene connection is highly needed to capture the story.
Kweli mkuu. Huku sio kama kule stress free!
 
Mm toleo LA division 5 ? Hebu jarbu kuufunza mdomo wako kutoropoko ropoka kwanza asubuhi sa hivi kapige mswaki
 
Nimeelewa kuanzia The past mpk Mother tongue huko chini code zilizochapwa ni ngumu sana punguza makali mkuu
 
Nje ya Mada Kidogo

Wanajamvi miaka mingi nimekuwa nikijiuliza ili swali;

Inatokea viongozi wa waasi wanajulikana kama wakina Wamba Dia Wamba, Kagame, Charles Taylor, Foday Sankoh, "Papoy" Sam Bockirie, "mosquito" Foday Kallay, Paul John Koroma, na wengine wengi awa uwa wako uraiani wakati harakati zinaendlea msituni na wakati mwingine wakiitwa kwenye majadiliano ya kurejesha amani.... Swali je?

Kwanini hawa watu uwa wakikitokeza hadharani awawez kuuwawa zaidi ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini??
Kwa kujulikana kuwa wao ndo kiini cha tatzo kwanini wasiuawe ili kumaliza mogogoro na waasi waliobaki msituni kutua siraha chinii??
Naomba ufafanuzi wa ili wadau.....
 
Akitaka kujua zaidi a some post za Mzee Mohamed Said
 
Mkuu, hizi code hapa ni balaa, salute!
 
Mkuu, hebu thibitisha uvumi wako sasa ili nasie wahuku shambani tuelewe watu wasiojulikana ni akinanani

Wasiojulikana ni wale waliom miminia tundu lissu risasi na ndiyo wale waliokuwa wapo kibiti na ila wanaotangaza watu wasijulikana leo muda fulani wamevamia sehemu flani. Wao watakuwa wanawajuwa zaidi kwa mana wanasemaga watu wasiojulikana wakimanisha washawajuwa kuwa ni wao
 
Okay, naskia eti niwanyarwanda walio letwa na chattel boy, ndio hao wasiojulikana siijui ni kweli mkuu?
 
Ahhaaa hapa ndipo umempoteza kabisa mkuu haya mambo sometimes ukiyafikiria sana yanakuumiza ubongo. Wakili mwanakitengo alipowadhihirishia Ukawa kuwa kura azitaibiwa ajawahi kujitokeza kwenye press tena three years now.



Kwanini?

Ilikuwaje?
 


Povu la nini?

watoto wa miaka ya elfu 2 mnatusumbua huku.

Someni tu kama hamna cha kuchangia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…