waziri mkuu nae risasiHakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !
Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
salute to you bro! umenikumbusha novel ya Manchurian Candidate. siku hizi naona kuna movie yake piaThe past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny
Mothertongue hawajui
basically, slim thug has us by the ball...
I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
nzi wengiLa Mzee Yusuf
inzi wengiNenda ukalale, maan mnafungua shule next week
Huyo ndo kastaafu kama raia wengine ila kiutendaji bado until his last cell mda wowte yupo kazini.anaitumikia umma.
Inamaana bila yeye 2015 ingekuwaje?Mechi zilikuwa ngumu sana ile timu kila wakibadilisha magoli watu wanaweka... Ikabidi wamrudishe kwa Muda Kama Paul Scholes pale man utd.... Akaonyesha cheecheeee... Akawachukua kwa mkopo Maradona mzee wa millets pale pale mzee aliyekuwa Mkufunzi wa siasa jeshini wakaaanza safari za kurudisha Chama chetu barabarani kwa ile shughuli ilibidi tu usajili uwe wa kudumu
Nadhani anazungumziwa baba yake hanspope Sr.Kama ni Makofia nakubaliana na wewe!
Digital satelite television. ( dstv)Hili neno Dstv kila nikilisukumizia kwenye ubongo halikubali......watu tuna vichwa vigumu!!!wekeni mchuzi kidogo Wakuu.
Hili swali liliwahi kuulizwa, akina pohamba na hinc wakagoma kujibu. ( eagle wing)Mkuu samahani kama utapata nafasi naomba utupe na hii,
Ninani aliye ratibu ujio wa yule mchungaji maarufu wa Nigeria mara baada ya uchaguzi mkuu?
Lengo la mkumleta lilikuwa nini? Na kwanini alikuja mara baada ya uchaguzi na siyo kabla ya uchaguzi? na je malengo ya ile dhifa yalifanikiwa?!
Asante mkuu
Na wameamua kufanya usajili wa kudumu,but is he worthy?Baada ya boyz 2 men kuhitilafiana kufuatia Richmond scandal, 2008, chama kiliyumba na kuzalisha makundi kadhaa. Ndipo wazee wa chama wakamshauri mwenye kigoda amrejeshe mkulima ili aweke mambo sawa. Hata hivyo nguvu ya mkulima haikuwa kubwa kama enzi za "malofa" kwani makundi yalishafika mbali sana. Hata hivyo kwa kushirikiana na Kinana walirekebisha kiaina.
Tena Security clearance ya level 5.watu wanakoment na fake IDs lakini bado wanaogopa.Facts.
1. Mtoto wa familia ya Mkapa aliniambia, muangalieni Dr. Omari Ali Juma, atakuja kuwa rais. Hilo ndilo lilikuwa chaguo la Mkapa. Habari hii ni kutoka dinner table conversation Sea View kwa Mkapa.
Dr. Ali Omari Juma "Chinjachinja" angepata kuwa rais, ingekuwa sawa na utawala wa Mkapa uende kuisha halafu aje kupokelewana Magufuli.
2. Kuna watu waliona wamenyang'anywa urais,na hivyoMkapa akimaliza, ni lazima wapate walichonyang'anywa.
3. Wakaona kuwa baada ya Mkapa, upepo unaelekea kwa Dr. Omari Ali Jumana wakizubaa, watanyang'anywa kwa mara ya pili nafasi ya urais.
4. Dr.Omari Ali Juma aliondolewa makusudi kwa kuchanganyiwa vidonge vya kuongeza nguvu na kinywaji kilicho react vibaya navyo. Vidonge hivi vinahusika katika shughuli pevu. Vilitumika kitaalamu sana kiasi kamakungefanyikauchunguzi wowote, kitu ambacho kingeonekana kumuondoa kingekuwa mashtuko wa moyo
5. Zaidi ya hapo, story kuhusu nani alihusika inahitaji security clearance.
Mara ya Mwisho alikuwa ana kesi ya kutapeli Barclay's Bank!balabuu. sahivi sijui kafia wapi
Yes, i've read the book, there was a plot to assassinate a vice presidential candidate.salute to you bro! umenikumbusha novel ya Manchurian Candidate. siku hizi naona kuna movie yake pia
A b@#%ch with photographic memory.she never forget shit.Karma is a b!tch
Babaaaaa lile zoezi la vua gamba vaa gwanda... Na ile sokomoko Lao la mgogoro wa kundi la boyz2men lisingewaacha salama Hata kidogo....Inamaana bila yeye 2015 ingekuwaje?
The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny
Mothertongue hawajui
basically, slim thug has us by the ball...
I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
Sio kwamba tunawakodi ila wanakuja kwa ajili ya special missions to be accomplished. Tena huwezi amini wengine wamekuja juzi juzi tu hapa kama miezi 13/14 hivi iliyopita baadhi wakiwa ile jinsia pendwa ya 'Ke'.
Ziara ilifanyika ya Pogba kwenda kwa bwana Pk kama unakumbuka. Anzia hapo sasa.
Kuna watu wanajisahau na kutoa mawasiliano yao Humu ndio maana unaona Code language wengine wanafahamika Kabisa, its bad Mtu unapaswa kutojulikana hata kwa kufungua ID mpya ambayo usiruhusu kutoa mawasiliano wala mtu yoyote kujua Identity yako.Tena Security clearance ya level 5.watu wanakoment na fake IDs lakini bado wanaogopa.
you mean A.T?