balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mkuu Kiweke hapa tukisome
Mangula aliliona joto la wale vijana wallahNaikumbuka hio scene. Mpaka mzee akasena basi wapeni wananchi chaguo lao, pale pale mkutanoni. Baada ya hapo mzee Mangula alishughulikiwa vilivyo na kuhamia Kinenulo Njombe shambani kwake, kwa kuwa ali endorse vibaya majina ya Boyz II men.
Kwani chand INA ugumu gani?Yaani kuielewa comment moja humu ni sawa na kusoma chand ya physics kweli wanafunzi tunataabu[emoji24][emoji24][emoji24]
Who is the guy?Duh! Natamani ikimaliza hii ije na ya HASSAN DIRIA
Hehehehe dah ila kweliHii nayo kama hujui ww nenda kule celebrate ukashinde huko. Huko utawakuta wanajadiliwa kina domo na kiba na kina wema
Comment tembea unaletaje utoto kwenye jukwaa kama hili?Kwani chand INA ugumu gani?
Au NdO unataka kutujulisha umesoma physic advance?
Ukiwa humu unatakiwa kuwa makini sana kuanzia uchangiaji hadi utoaji wa mada. Mfano hii mada inayoendelea sasa nadhani kwasasa wanahangaika kujua wachangiaji wake ni akina nani hasa ndani yake.Kuna watu wanajisahau na kutoa mawasiliano yao Humu ndio maana unaona Code language wengine wanafahamika Kabisa, its bad Mtu unapaswa kutojulikana hata kwa kufungua ID mpya ambayo usiruhusu kutoa mawasiliano wala mtu yoyote kujua Identity yako.
Lakini hili pia hali assure security yako, Hujawah kujiuliza Melo alivyo potential anaweza kuwa Nje na DSTV?
Msaada tutani
1. Imekuwaje hata kindovu anatamba katika enzi zote.?
2. Je ni kweli Joka la mdimu yupo silenced mazima baada ya ile move ya kuitisha press conference kufeli.
3. Laingwanani siku ya kutangazwa matokeo, kile kitendo cha kutaka kwenda tume akazuiliwa juu kwaju ni kweli alikuwa akimaanisha au alikuwa anacheza karata.
4. Uhalali wa kijana wa mwandiga kujiita mpinzani huku siku za karibuni viongozi wake waandamizi wakirudi chama dola kwa kasi. Na kuukwaa nyadhifa za juu ambazo zinatia shaka kudhani kama kweli walikuwa wapinzani.
5. Mzee wa karatu ni kweli kaasi chama dola.? Haiingii akilini kasave miaka 10 ya Mr clean then ghafla kahamia kwa hasimu wake huku upande wake wa Mr Clean ukiwa umeshika dola. Nini kimetokea hapo kati.?
6. Mkuu wa DSTV enzi za Mr clean, kuwa masterminder wa harakati za ulipo tupo, halafu baada ya matokeo juzi kati tumeona kachaguliwa katika bodi ya washauri wa JPM wakiongozwa na Mzee Kitine. Hii imekaaje.??
7. Baada ya matokeo nani alimuita mchungaji wa Nigeria.? Na kwa lengo gani.?
8. Je Ugonjwa wa Laingwanan ni kazi ya kitengo kumnyamazisha au ni magonjwa ya kimaumbile tuu..?
Hujanielewa mkuuMkuu majibu yote yapo humu ukiona code za boyz 2 men + persian + ba kinje hiyo ilikuwa timu ya kusaka kiti kpindi hicho wazee wa kitengo walimpitishia teacher jina la Mr Clean akaambiwa huyo ni msafi kweli. Kwahio tatizo ilikuwa Urais ila kwa ushauri rudia kusoma kusoma episodes zote
Walimshughulikia hatariii, nakumbuka aligombea uenyekiti chama iringa akapigwa chini na mtu ambaye hata primary hajasoma.Mangula aliliona joto la wale vijana wallah
Mzee haikua na haja bwana unaharibu utamu wa Uzi mzima aiseeeNgja nimsaidie DSTV=TISS HAYA NIMEWASAIDIA MSISUMBUE TENA
Tutoke hapa twende WAP tena?1. Jamaa wa skinny ? - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa
2. Mothertounge hawajui - Shukrani kwa IDed them
3. Slim thug has us by the ball - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa
4. Sayyid Ali Bin Hamud Al-Busaid - Huyu mzee aliweka nguvu nyingi kupambana na Boys2Men mwenzake akasahau upande wa pili. Boys2Men mwenzake anamcheka sasa uko aliko
5. Journo - Huenda uzee umemvuruga
Ili tutoke hapa tulipo tunahitaji another stronger Boys2Men team
Shikamoo boys 2 men aiseeeWalimshughulikia hatariii, nakumbuka aligombea uenyekiti chama iringa akapigwa chini na mtu ambaye hata primary hajasoma.
Kama wangesoma tokea Uzi unaanza wasingesumbuaSory mkuu nlkua nasadia vijana walkua wanalia lia @ where we dare to talk openly
hebu acha kuharibu majina ya watu, rudi shule kwanza ukajifunze kuandika upyaUnamjua tajiri barabuu wa moro united?