Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Msaada tutani

1. Imekuwaje hata kindovu anatamba katika enzi zote.?

2. Je ni kweli Joka la mdimu yupo silenced mazima baada ya ile move ya kuitisha press conference kufeli.

3. Laingwanani siku ya kutangazwa matokeo, kile kitendo cha kutaka kwenda tume akazuiliwa juu kwaju ni kweli alikuwa akimaanisha au alikuwa anacheza karata.

4. Uhalali wa kijana wa mwandiga kujiita mpinzani huku siku za karibuni viongozi wake waandamizi wakirudi chama dola kwa kasi. Na kuukwaa nyadhifa za juu ambazo zinatia shaka kudhani kama kweli walikuwa wapinzani.

5. Mzee wa karatu ni kweli kaasi chama dola.? Haiingii akilini kasave miaka 10 ya Mr clean then ghafla kahamia kwa hasimu wake huku upande wake wa Mr Clean ukiwa umeshika dola. Nini kimetokea hapo kati.?

6. Mkuu wa DSTV enzi za Mr clean, kuwa masterminder wa harakati za ulipo tupo, halafu baada ya matokeo juzi kati tumeona kachaguliwa katika bodi ya washauri wa JPM wakiongozwa na Mzee Kitine. Hii imekaaje.??

7. Baada ya matokeo nani alimuita mchungaji wa Nigeria.? Na kwa lengo gani.?

8. Je Ugonjwa wa Laingwanan ni kazi ya kitengo kumnyamazisha au ni magonjwa ya kimaumbile tuu..?
 
Naikumbuka hio scene. Mpaka mzee akasena basi wapeni wananchi chaguo lao, pale pale mkutanoni. Baada ya hapo mzee Mangula alishughulikiwa vilivyo na kuhamia Kinenulo Njombe shambani kwake, kwa kuwa ali endorse vibaya majina ya Boyz II men.
Mangula aliliona joto la wale vijana wallah
 
Kuna watu wanajisahau na kutoa mawasiliano yao Humu ndio maana unaona Code language wengine wanafahamika Kabisa, its bad Mtu unapaswa kutojulikana hata kwa kufungua ID mpya ambayo usiruhusu kutoa mawasiliano wala mtu yoyote kujua Identity yako.
Lakini hili pia hali assure security yako, Hujawah kujiuliza Melo alivyo potential anaweza kuwa Nje na DSTV?
Ukiwa humu unatakiwa kuwa makini sana kuanzia uchangiaji hadi utoaji wa mada. Mfano hii mada inayoendelea sasa nadhani kwasasa wanahangaika kujua wachangiaji wake ni akina nani hasa ndani yake.

Maana yanasemwa mengi yaliyofichika tena katika mpangilio... NA WANAANGALIA MWISHO WAKE WA HII MADA NI NINI.... maana watu watanogewa hadi watajikuta wanaingia 2015-2020
 
Msaada tutani

1. Imekuwaje hata kindovu anatamba katika enzi zote.?

2. Je ni kweli Joka la mdimu yupo silenced mazima baada ya ile move ya kuitisha press conference kufeli.

3. Laingwanani siku ya kutangazwa matokeo, kile kitendo cha kutaka kwenda tume akazuiliwa juu kwaju ni kweli alikuwa akimaanisha au alikuwa anacheza karata.

4. Uhalali wa kijana wa mwandiga kujiita mpinzani huku siku za karibuni viongozi wake waandamizi wakirudi chama dola kwa kasi. Na kuukwaa nyadhifa za juu ambazo zinatia shaka kudhani kama kweli walikuwa wapinzani.

5. Mzee wa karatu ni kweli kaasi chama dola.? Haiingii akilini kasave miaka 10 ya Mr clean then ghafla kahamia kwa hasimu wake huku upande wake wa Mr Clean ukiwa umeshika dola. Nini kimetokea hapo kati.?

6. Mkuu wa DSTV enzi za Mr clean, kuwa masterminder wa harakati za ulipo tupo, halafu baada ya matokeo juzi kati tumeona kachaguliwa katika bodi ya washauri wa JPM wakiongozwa na Mzee Kitine. Hii imekaaje.??

7. Baada ya matokeo nani alimuita mchungaji wa Nigeria.? Na kwa lengo gani.?

8. Je Ugonjwa wa Laingwanan ni kazi ya kitengo kumnyamazisha au ni magonjwa ya kimaumbile tuu..?

Naomba unitag mkuu kama utapata coded language ya haya uliyonena hapo.
 
Mkuu majibu yote yapo humu ukiona code za boyz 2 men + persian + ba kinje hiyo ilikuwa timu ya kusaka kiti kpindi hicho wazee wa kitengo walimpitishia teacher jina la Mr Clean akaambiwa huyo ni msafi kweli. Kwahio tatizo ilikuwa Urais ila kwa ushauri rudia kusoma kusoma episodes zote
Hujanielewa mkuu
Namuongelea yule mmasai kipenz cha watu aliyefariki kwa ajali
Mwenye jina la uwanja Mbeya
Sio huyu wa boys 2 men
 
Who is the guy?
8ceeb89dd9a0b28aa649382292d12102.jpg

Ahmed Hassan Diria - Wikipedia
[emoji115] [emoji115] [emoji115] Msome umjue
 
1. Jamaa wa skinny ? - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa
2. Mothertounge hawajui - Shukrani kwa IDed them
3. Slim thug has us by the ball - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa
4. Sayyid Ali Bin Hamud Al-Busaid - Huyu mzee aliweka nguvu nyingi kupambana na Boys2Men mwenzake akasahau upande wa pili. Boys2Men mwenzake anamcheka sasa uko aliko
5. Journo - Huenda uzee umemvuruga

Ili tutoke hapa tulipo tunahitaji another stronger Boys2Men team
Tutoke hapa twende WAP tena?
 
Walimshughulikia hatariii, nakumbuka aligombea uenyekiti chama iringa akapigwa chini na mtu ambaye hata primary hajasoma.
Shikamoo boys 2 men aiseee
Walikua na uwezo wakuifanya Tanzania ikapiga bao sana ila ndo hvyo tena
 
Back
Top Bottom