Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Dogo unakataa ya Kombe kujua ndege itatunguliwa
je ? unajua kuna Mwanasheria mnyakyusa alitangulia kufa na aliendesha Kesi za PK?
Ni nchi jirani lkn mpaka leo wanaingia hapa km nyumbani na kuminya watakavyo
Mr slim is 100% mastermind wa hiyo extrajudicial execution..

Manake wakati hili la Jwani linafanyika mwezi july 2010 , mwezi may alimuweka ndani Prof. P Erlinder ambaye alikuwa kwenye ile kesi za kaskazini mwa Tz na kina jwani.

Erlinder alidakwa kwa kushutumiwa kuna anashirikiana na FDLR ambao majority yao kina mirengo ya kihutu , lakini pia Erlinder alikuja kumsaidia mbowe( Bi. victorie) wa huko kwa miaka hiyo ya 2010.

So ! Pro juan na P.E walikuwa kwenye Black list ya Slim Thug..just that every one had his time.
 
Dogo unakataa ya Kombe kujua ndege itatunguliwa
je ? unajua kuna Mwanasheria mnyakyusa alitangulia kufa na aliendesha Kesi za PK?
Ni nchi jirani lkn mpaka leo wanaingia hapa km nyumbani na kuminya watakavyo
Nifungue Macho mkuu!! pazia bado limefungwa pk kidogo hakuhusika na udinguaji wa ndege
 
Hata 'Greyson' alipogombana na Mkewe ni Yeye Muiran wa Igunga 'aliamuru' kumziba mdomo wife wake kwa kumtupa balozini kwetu kwa Bibi Eliza!
Wakati huo huo alikuwa na passports 2 moja kadi ya CCM na nyingine ya Bibie kwa sababu naye alifanya ule mchezo wa wapemba under pretext kuwa yeye asli yake ni ni jirani na tall hapo les Grands-Lacs
 
blackman...
 
Watu waliweka kibindoni faranga nyingi zilizotoka anjuania via envoy wao ambaye yupo huko nchini kilichowauma zaidi long shoes ni kuwa walijua mzigo umetoka na mzigo hauonekani wakasema bulshit yaliotokea ni historia ya vizazi vijavyo.
yule alikuwa ni sibling wake

rejea my post kuhusu ali akber veleyati

jamaa hakufikisha mzigo wote

alichukua 70%
 
That's not fair mkuu
Funguka bana aaah
 
Yaan naamini ukimya wao unamuumiza sana chatomanian aiseee
Anafunga na kuomba kwa mizimu yote ya kanda ya ziwa jamaa a one Mwanga bila wapi
Ila 2020 sio mbali naamini tutaina mengi
Tusishangae hata muiran akarudi kwenye midomo yetu
 
Hata 'Greyson' alipogombana na Mkewe ni Yeye Muiran wa Igunga 'aliamuru' kumziba mdomo wife wake kwa kumtupa balozini kwetu kwa Bibi Eliza!
Duuu aisee
Ila muiran katutafuna sana wallah
yule MTU yule mmmh
 
Very stupid aisee
Siamini kama sisi ni washamba kiasi hcho
I blv was planned aisee
 
Mkuu jitahidi tu
Tupo chini ya miguu yako
Ukimwaga Uzi mmoja hata kwa wiki tukauongezea nyama sio mbaya mkuu
Let's say kila ijumaa unatupia mmoja utapungukiwa nn?
Usitufanye tutaanza kushinda majukwaa ya celebrity mkuu sio mambo yetu wengine
 
Huyu huyu wa Mbezi?
Aliyekua anapanga mikakati ya laigwan?
Duuu aisee
 
Wakati huo huo alikuwa na passports 2 moja kadi ya CCM na nyingine ya Bibie kwa sababu naye alifanya ule mchezo wa wapemba under pretext kuwa yeye asli yake ni ni jirani na tall hapo les Grands-Lacs
R u saying watu walitafuna mtandao wa bibie wa greyson??
 
yule alikuwa ni sibling wake

rejea my post kuhusu ali akber veleyati

jamaa hakufikisha mzigo wote

alichukua 70%
Wakati mwingine ukiwaza sana haya yaliotokea unaweza kumuonea huruma nyampara wa road yeye yupo pale kama bendera pamoja na matamko yote lakini ....
 
Huyu huyu wa Mbezi?
Aliyekua anapanga mikakati ya laigwan?
Duuu aisee
Niliposikia kuwa mpanga mkakati na ndo jamaa nikasema kuwa tayari upinzani ujipange tena. Ex mkarabaht amedumu kwenye hicho kiti kwa miaka 9 na boss wake ndo huyo alikuwa ni Lord Lofa hapo jangwani .

Yaani ex mkarabaht ili mambo yaende vizuri lazima awasiliane kwa ukaribu na in charge mkarbat ambae kama unakumbuka mpaka anatake control alikuwa kwa bibi kabla kurudishwa huko km DG wa HR cheo ambacho ni kinafuatia boss wa mkarabat . Sasa kushawishiwa kuwa kunge kuwa na ushindi ndo ikawa ngumu kwenye ubongo wangu.
 
Wakati mwingine ukiwaza sana haya yaliotokea unaweza kumuonea huruma nyampara wa road yeye yupo pale kama bendera pamoja na matamko yote lakini ....
Ninamuonea huruma, nimeanza kufuatilia uzi tangu page ya kwanza mpaka sasa,mambo mengi yanatia huzuni sana na sijui atafanyaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…