Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Dogo unakataa ya Kombe kujua ndege itatunguliwa
je ? unajua kuna Mwanasheria mnyakyusa alitangulia kufa na aliendesha Kesi za PK?
Ni nchi jirani lkn mpaka leo wanaingia hapa km nyumbani na kuminya watakavyo
Mr slim is 100% mastermind wa hiyo extrajudicial execution..

Manake wakati hili la Jwani linafanyika mwezi july 2010 , mwezi may alimuweka ndani Prof. P Erlinder ambaye alikuwa kwenye ile kesi za kaskazini mwa Tz na kina jwani.

Erlinder alidakwa kwa kushutumiwa kuna anashirikiana na FDLR ambao majority yao kina mirengo ya kihutu , lakini pia Erlinder alikuja kumsaidia mbowe( Bi. victorie) wa huko kwa miaka hiyo ya 2010.

So ! Pro juan na P.E walikuwa kwenye Black list ya Slim Thug..just that every one had his time.
 
Dogo unakataa ya Kombe kujua ndege itatunguliwa
je ? unajua kuna Mwanasheria mnyakyusa alitangulia kufa na aliendesha Kesi za PK?
Ni nchi jirani lkn mpaka leo wanaingia hapa km nyumbani na kuminya watakavyo
Nifungue Macho mkuu!! pazia bado limefungwa pk kidogo hakuhusika na udinguaji wa ndege
 
Hata 'Greyson' alipogombana na Mkewe ni Yeye Muiran wa Igunga 'aliamuru' kumziba mdomo wife wake kwa kumtupa balozini kwetu kwa Bibi Eliza!
Wakati huo huo alikuwa na passports 2 moja kadi ya CCM na nyingine ya Bibie kwa sababu naye alifanya ule mchezo wa wapemba under pretext kuwa yeye asli yake ni ni jirani na tall hapo les Grands-Lacs
 
Sawa mkuu hii ndio busara kubwa kuliko zote kulikuwa na mzee moja alieamini kuwa safu zote za nchi anapanga yeye though hakuwa kwenye kigoda ila kwa kushirikiana na passion walifanikiwa ata pale aliporudisha chenjii pale anatoglou alijua tayari .

Ila kuna kitu mpaka kesho sitokuja kuiamini yaani mzee mstaafu yule wa dstv eti ndiye alikuwa mpanga mkakati ! Pale ndo nilisema hapana anyway tuangalie ligi za mass mengine yapo ndani sana.
blackman...
 
Watu waliweka kibindoni faranga nyingi zilizotoka anjuania via envoy wao ambaye yupo huko nchini kilichowauma zaidi long shoes ni kuwa walijua mzigo umetoka na mzigo hauonekani wakasema bulshit yaliotokea ni historia ya vizazi vijavyo.
yule alikuwa ni sibling wake

rejea my post kuhusu ali akber veleyati

jamaa hakufikisha mzigo wote

alichukua 70%
 
Kipindi hicho, M8-1 was a threat to the entire EA. henceforth, vita ya Congo M8-1 ndo alikuwa mastermind na engineer mkuu. Along the way, walihitilafiana na Mr. Slim (slim thug) na wakachapana. Casualties walikuwa wengi kwa upande wa M8-1...kwani majeshi ya M8-1 yalikuwa ambushed bila wao kuwa tayari. Mr. slim anapenda hii staili ya ku-ambush kwani hawezi kushinda a clean fight. kuna kipindi Mmakuwa wa Tanga na nyika alinukuliwa akisema kuwa " viongozi wa maziwa makuu ndo chanzo cha vurugu" na wengi walinuna sana kwa kauli hiyo.
M8-1 is genius na aliwazidi akili viongozi wengine wa kipindi hicho. hivyo basi, by eliminating him...Congo war ingekuwa ndo tamati yake. kumbuka, M8-1 ndo alikuwa anavuna mbao nyingi na madini mengi huko DRC. Ngoja niishie hapa ila kuna issues nyingi sana...nyuma ya pazia
That's not fair mkuu
Funguka bana aaah
 
Chattlenian atapata kazi sana, manake lazima ktk regime yake itoe kijiti kwa regime ambayo haitofukua upuuzi wa regime yake..

Na kuna hearsy za maandalizi yanayofanya kwa yule kijana aliezuru Congo juzi. Watu wanacheza karata 2 mkuu. B2M ipo lakini, the 2 giant are likely to have pocket plans.

Wako kimya as nothing is going on, lakini haya yote ni kudraw attention siku ikifika. Mfano mzuri ni leigwanan kipind kile cha scandal ya richard monduli alikaa kimya kujijenga....we all know how popular he became on his return. Ukimya imekuwa ni tabia na silaha yao kubwa.
Yaan naamini ukimya wao unamuumiza sana chatomanian aiseee
Anafunga na kuomba kwa mizimu yote ya kanda ya ziwa jamaa a one Mwanga bila wapi
Ila 2020 sio mbali naamini tutaina mengi
Tusishangae hata muiran akarudi kwenye midomo yetu
 
Hata 'Greyson' alipogombana na Mkewe ni Yeye Muiran wa Igunga 'aliamuru' kumziba mdomo wife wake kwa kumtupa balozini kwetu kwa Bibi Eliza!
Duuu aisee
Ila muiran katutafuna sana wallah
yule MTU yule mmmh
 
Ile ajali ilitokea Mbeya alipokwenda kwny janga la Moto pale Soko kuu!
Kosa lile lililosababisha ajali ni la kizembe sana na report yake ipo mpka Civil Aviation Authority!

Mizigo ya Zawadi toka kwa Viongozi wa Chama na Serikal Mkoa waMbeya iliruhusiwa kusafirishwa kwny ndege hiyo hiyo bila ya kupimwa Matokeo yake Mzigo ulikuwa Mkubwa kuliko uzito wa ndege husika!
R.I .P Mbunge wa Zamani wa Tunduru!
Very stupid aisee
Siamini kama sisi ni washamba kiasi hcho
I blv was planned aisee
 
Nyingi nikianzisha jamaa Mr P na kaya yake uzivua kwa kokoro alafu hizi zinazohusu za watu wa njia panda ni ngumu sana angalia Passion alivopiga mkwanja ya maana via ashok lyland akala kona ebu itafute hiyo uzi kama utapata never.

Duh ukifikiria sana ndo zile frastesheni za chapamba.
Mkuu jitahidi tu
Tupo chini ya miguu yako
Ukimwaga Uzi mmoja hata kwa wiki tukauongezea nyama sio mbaya mkuu
Let's say kila ijumaa unatupia mmoja utapungukiwa nn?
Usitufanye tutaanza kushinda majukwaa ya celebrity mkuu sio mambo yetu wengine
 
Sawa mkuu hii ndio busara kubwa kuliko zote kulikuwa na mzee moja alieamini kuwa safu zote za nchi anapanga yeye though hakuwa kwenye kigoda ila kwa kushirikiana na passion walifanikiwa ata pale aliporudisha chenjii pale anatoglou alijua tayari .

Ila kuna kitu mpaka kesho sitokuja kuiamini yaani mzee mstaafu yule wa dstv eti ndiye alikuwa mpanga mkakati ! Pale ndo nilisema hapana anyway tuangalie ligi za mass mengine yapo ndani sana.
Huyu huyu wa Mbezi?
Aliyekua anapanga mikakati ya laigwan?
Duuu aisee
 
Wakati huo huo alikuwa na passports 2 moja kadi ya CCM na nyingine ya Bibie kwa sababu naye alifanya ule mchezo wa wapemba under pretext kuwa yeye asli yake ni ni jirani na tall hapo les Grands-Lacs
R u saying watu walitafuna mtandao wa bibie wa greyson??
 
yule alikuwa ni sibling wake

rejea my post kuhusu ali akber veleyati

jamaa hakufikisha mzigo wote

alichukua 70%
Wakati mwingine ukiwaza sana haya yaliotokea unaweza kumuonea huruma nyampara wa road yeye yupo pale kama bendera pamoja na matamko yote lakini ....
 
Huyu huyu wa Mbezi?
Aliyekua anapanga mikakati ya laigwan?
Duuu aisee
Niliposikia kuwa mpanga mkakati na ndo jamaa nikasema kuwa tayari upinzani ujipange tena. Ex mkarabaht amedumu kwenye hicho kiti kwa miaka 9 na boss wake ndo huyo alikuwa ni Lord Lofa hapo jangwani .

Yaani ex mkarabaht ili mambo yaende vizuri lazima awasiliane kwa ukaribu na in charge mkarbat ambae kama unakumbuka mpaka anatake control alikuwa kwa bibi kabla kurudishwa huko km DG wa HR cheo ambacho ni kinafuatia boss wa mkarabat . Sasa kushawishiwa kuwa kunge kuwa na ushindi ndo ikawa ngumu kwenye ubongo wangu.
 
Wakati mwingine ukiwaza sana haya yaliotokea unaweza kumuonea huruma nyampara wa road yeye yupo pale kama bendera pamoja na matamko yote lakini ....
Ninamuonea huruma, nimeanza kufuatilia uzi tangu page ya kwanza mpaka sasa,mambo mengi yanatia huzuni sana na sijui atafanyaje.
 
Back
Top Bottom