Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Mr slim is 100% mastermind wa hiyo extrajudicial execution..Dogo unakataa ya Kombe kujua ndege itatunguliwa
je ? unajua kuna Mwanasheria mnyakyusa alitangulia kufa na aliendesha Kesi za PK?
Ni nchi jirani lkn mpaka leo wanaingia hapa km nyumbani na kuminya watakavyo
Manake wakati hili la Jwani linafanyika mwezi july 2010 , mwezi may alimuweka ndani Prof. P Erlinder ambaye alikuwa kwenye ile kesi za kaskazini mwa Tz na kina jwani.
Erlinder alidakwa kwa kushutumiwa kuna anashirikiana na FDLR ambao majority yao kina mirengo ya kihutu , lakini pia Erlinder alikuja kumsaidia mbowe( Bi. victorie) wa huko kwa miaka hiyo ya 2010.
So ! Pro juan na P.E walikuwa kwenye Black list ya Slim Thug..just that every one had his time.