Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hizi mambo bwana; chukulia ndege wako sehemu kwenye foleni na unajua kabisa pale umewekwa mtego wa kunasa ndege wa tatu. Sasa katika kujipanga yule aliyedhaniwa kuwa atakuwa watatu na ndiye anayetarajiwa kunaswa akapata machale asiende.
Badala yake una amriwa usogee wewe na huwezi kukataa. Mwisho wa siku unajitosa huku ukijua kuwa baada ya hapo una kuwa umenaswa.
Ndivyo ilivyo sometimes kwa ndege warukao pamoja.

Wewe ndiye umemix kila kitu
 
Aisee, hizi mambo hizi si mchezo.
 
Mkuu hivi hata wewe hujui uhusika wa boys2Men? Basi ulikua mtoto.
Khalfani alikuwa ni mjanja sana kwa mgongo wa el alipata urais baadae akamtema kama bazoka jiulize wamefanya mangapi ?

Hivi ni nani aliemuamuru mwl Personal bodyguard soon after his death amlinde El jamani hayo mambo kwakweli khalfani na el hawajakutana road.
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Mkuu..embu funguka..huyo mkuu wa usalama aliepigwa risasi..ilikuaje?
 
Khalfani alikuwa ni mjanja sana kwa mgongo wa el alipata urais baadae akamtema kama bazoka jiulize wamefanya mangapi ? Hivi ni nani aliemuamuru mwl Personal bodyguard soon after his death amlinde El jamani hayo mambo kwakweli khalfani na el awajakutana road .
Boys2men ni hatari!! Lowassa kuna karma anailipia hata JK naamini atailipia.....rip Julius K Nyerere
 
Mkuu bado ujanishawishi inshu ya BABU SEYA naona Hamna mausiano na KIKWETE ila siasa tu imeingizwa .labda nikuhulize swali hivi inshu ya SEYA haina mahusiano na siasa za Kongo kwa kabila maana baada ya BABU SEYA kutoka jera baada ya week kama tatu nne hivi tukapata msiba huko Kongo wanajeshi wetu 12 wameuwawa na wengine kama 40 majeruwi uwoni kama kuna kitu nyuma ya panzia
Wambagusta, acha speculation zisizo na mshiko. Issue ya wanajeshi kufa na babu seya wapi na wapi?

Ukimzungumzia JK kwenye issue ya babu Seya pia kuna ukakasi kwa sababu wakati babu seya anawekwa ndani, JK alikuwa ni waziri. Lakini cha ajabu, JK alivyopata Uraisi akaanza safari za kutembelea wizara tofauti tofauti akianzia na Magereza ambapo akina seya walikuwa wamefungwa.
 
Boys2men ni hatari!! Lowassa kuna karma anailipia hata JK naamini atailipia.....rip Julius K Nyerere
Hivi ni kweli Lowassa alikuja Chadema kutaka ukombozi wa mdanganyika dhidi ya mtanganyika au alitaka walichopanga kipindi hicho kitimie mambo waliofanya bado siamini kama tutapata ukombozi kwa kuwabeba makapi kutoka ccm.

Aikael tunakuomba umuambie Lowassa apumzike anatuondoa kwenye malengo yetu ya kupata uhuru wetu wa kweli. Kikwete ni mjanja sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
 
Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha
Anzisha Uzi wa babu yako Seya naona unawashwawashwa wewe
 
Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha
Babubseya alikuwa anampakua mkebwa mkwere. Ndipo wakaona wambambikie kesi. Akuwa anamla sana uroda mke wake.
 
Wambagusta, acha speculation zisizo na mshiko. Issue ya wanajeshi kufa na babu seya wapi na wapi?

Ukimzungumzia JK kwenye issue ya babu Seya pia kuna ukakasi kwa sababu wakati babu seya anawekwa ndani, JK alikuwa ni waziri. Lakini cha ajabu, JK alivyopata Uraisi akaanza safari za kutembelea wizara tofauti tofauti akianzia na Magereza ambapo akina seya walikuwa wamefungwa.

So??
 
Back
Top Bottom