Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Hizi mambo bwana; chukulia ndege wako sehemu kwenye foleni na unajua kabisa pale umewekwa mtego wa kunasa ndege wa tatu. Sasa katika kujipanga yule aliyedhaniwa kuwa atakuwa watatu na ndiye anayetarajiwa kunaswa akapata machale asiende.
Badala yake una amriwa usogee wewe na huwezi kukataa. Mwisho wa siku unajitosa huku ukijua kuwa baada ya hapo una kuwa umenaswa.
Ndivyo ilivyo sometimes kwa ndege warukao pamoja.
Wewe ndiye umemix kila kitu