cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,763
- 1,432
Kwani walifungwa kweli??Hawa jamaa waliachiwa kabla 2012.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walifungwa kweli??Hawa jamaa waliachiwa kabla 2012.
Yes you have got a point.. Alipomuambia mkwere kuwa I will wait you at the right point alafu amfute kwenye uso wa dunia alikuwa anamaanisha via kundi lake la Escadron de la mort " kagame ni hatari
Mseveni alipaswa kumalizwa akiwa Dar tarh 04/07/2001 Aliwekewa sumu kwenye kipaza sauti kabla ajaitumia ndipo secret agents wa Uganda walipochezwa machale na kubadilisha hiyo mic haraka.sijaona la maana ktk maelezo ya kifo cha huyo jamaa, zaidi ya bla blaa. Maelezo yao yana walakini
Hilo la chadema, wakija kustuka watakua wameishachelewa.Vasco da Gama Ni mtoto wa mjini anajua sana kucheza karata zake , Aziza huko alipo anaendelea na kazi zake kumbuka undercover agent of CIA usiulize maswali Mengi elewa hivo hivo , Olegwain huko Kinondoni mission yake Kama vile haipo kumbe yupo ila he is killing opposition parties via cdm slowly.
Alitungiwa nyimbo nyingi na ngojera sijui shahiri ila kuna mda najiuliza sipati jibu mfano nyimbo za Komba alizomtungia Nyerere R.I.P yaani baada ya tu ya Ben Kutangaza habari za kifo hicho zikaanza kupigwa RTD currently TBC yaani utafikiri walijua kuwa nini kitafuata .Asanteni kwa historian mjarabu kabisa namkumbuka Dr.Omary Ally Juma
Kiazi wewe, hujaona wenzako waliojibu kistaarabu? Heshima yako iko wapi kwa lugha za matusi katika jukwaa? Ukikuwa mwili ukue na akili, sio kwasababu unajua kutumia simu uone ndio umekuwa.We jamaa hauna Marinda Nini.???
Mbona unahangaika tangu mwanzo kutuharibia uzi..
Kama jamaa anadanganya acha atudanganye sisi tumehiyari..
Mpumbavu wewe..
Unauuliza jibu?Ina maana unaweza kukuta mamvi yupo kwenye kazi maalumu baadae arudi nyumban?
Kuna mtu naye anasahaulika hapa, SUMA YEA, yafaa kuwaza kwa kina.Unauuliza jibu?
Hili la kikosi cha bwana pk kusambaa hadi South Africa sasa ndio nazidi kufunguka macho manaake ulivyotamka tu kwamba jamaa kasambaza vijana wake hadi South Africa umenikumbusha mwaka 2012 mwishoni kama sijakosea jamaa walivyo muua na kummaliza ex spy chief wao alikuwa anaitwa Paul Rugeye au Karugeye if i've not mistaken.Muambie pia atambue kuwa Kagame ana kikosi chake kilichosambaa maziwa makuu mpaka South Afrika inajulikana kama " ESCADRON DE LA MORT" hicho kikosi kimeondoka Na wengi lakini la kukumbukwa na wengi ni Mtikila na Mwakyusa Juan Profesa R.I.P.
Bongo wapo ndio...Mkuu
Ina maana hili kundi lime penetrate hadi bongo na kufanya litakavyo? Je vyombo vyetu vinalijua kiasi gani?
Kwa jinsi ilivyokiwa walifungwa kweli.Kwani walifungwa kweli??
Nakumbuka babu yangu alinambia before Mmkakua ajatangaza kifo cha mwalimu watu wa mkoa wa Mara walikuwa wameshajua kupitia matukio yaliyojitokeza moja ni mtikisiko wa mji wote wa musoma ndege kupiga kelele usiku kucha mti mkubwa mhunda kudondoka na nyani mkuwa kukutwa amekufa mwitongo ila all in all ukweli utaishiAlitungiwa nyimbo nyingi na ngojera sijui shahiri ila kuna mda najiuliza sipati jibu mfano nyimbo za Komba alizomtungia Nyerere R.I.P yaani baada ya tu ya Ben Kutangaza habari za kifo hicho zikaanza kupigwa RTD currently TBC yaani utafikiri walijua kuwa nini kitafuata .
Huyo mission yaake ni tofaut kabisa na ya MmasaiKuna mtu naye anasahaulika hapa, SUMA YEA, yafaa kuwaza kwa kina.
Kwanini mkuu ?
Hili achana nalo kwanza pamoja na kuwa dereva wake aliapa kutokutoa ya moyoni ila ukweli anajua kijana yule Somebody Mallya mpare huyo ambae baadae alivujisha siri jinsi Yule mbunge wa Kigoma aliejinasibu kuwa ameaga alivotakiwa kuuawa am not sure with that notion lakn km unafatilia Yule Mkurugenzi wa ulinzi wa chama chetu pendwa aliozea segerea kabla ya kuachiwa huru .Wakuu mwenye deep info za kifo cha Chacha Wang we naomba ashushe nondo .To me This is one of the mysterial death up to this moment , Wangwe's ,Mtikila's and Sokoine's deaths scenarios makes me believe that there had been conspiracies to get rid of these people in a systematic way under the curtain of Car accidents