Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Nje ya mada kidgo. Je mmasai kuutema uwaziri mkuu ikihusiana na scandal ya Richmond ile ni mipngo kutoka kwa mkwere au ilikuwa ni kweli jamaa kahusika kwenye ishu ya Richmond
Hilo issue wanaoijua vizuri ni walewale kizazi cha dhahabu a.k.a Golden boys na yule undercover agent wa CIA. Huyo mmasai jumba bovu lilimdondokea kwa kujifanya au kwa hasira za kujitia wana maamuzi magumu hilo suala lilikuwa la wote.
 
Basi sawa , itapendeza
Naomba kujua hili
Huyu Walingozi miaka ya nyuma niliwahi pita Namanyere pale mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukawa kuna nyumba moja nzuri kuliko zote kwa kipindi hicho inajengwa nikaambiwa ni yake lakini hv kama mwezi umepita nimepita kule nimeona ile nyumba maskini haikumaliziwa vizuri yaani hovyo kabisa imepauka tu nadhani mauti yalimfika kabla.

Bahati mbaya sijawahi jua chochote kumhusu zaidi ya kuambiwa ni mtu wa sys hata kifo chake nikajua ni kawaida tu.
Ila niliambiwa alijenga nyumba nyingine kiijini kwao huko Kate ipo juu ya mlima hivi..
 
Watanzania kinachotuangusha kwa kweli ni uthubutu tu. Maana tungekuwa na uthubutu wa kufanyia kazi ubunifu wa kutunga mambo, hata mapicha ya Hollywood yangetoka jasho.
Watu wanajua mengi mkuu basi wanaamua kutulia hizi zinazoandikwa si nadharia za uchumi wa viwanda au kuwapandisha watu madaraja. Zimetokea na maisha yanaendelea you may take it free or live it
 
Dah makubwa
Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha

Stori za vijiweni vinahusisha na Silaha kwa waasi Congo Kinshasa,
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Sijakupata Ndg! Tiririka tupate maarifa kizazi cha 90![emoji188]
 
Kiazi wewe, hujaona wenzako waliojibu kistaarabu? Heshima yako iko wapi kwa lugha za matusi katika jukwaa? Ukikuwa mwili ukue na akili, sio kwasababu unajua kutumia simu uone ndio umekuwa.
kuku wewe tangu waanze kukujibu kiustaarabu ulielewa zaidi ya kuendelea kutuharibia uzi.?
Unaambiwa Mtu kafariki July/4....unasisitiza April/7....
Huna google kwenye simu yako.?
Acha upumbavu kwasababu hatuoni sura yako..
 
f1d9cd14662ed666d400bb116f631ca4.jpg
 
Back
Top Bottom