Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Duuh hatari
1. Una maana sultan hayupo upande wetu?
2. Au wana nguvu kuliko sultan?
3. Au sultan hana taarifa?

Ngachoka mimi


The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny

Mothertongue hawajui

basically, slim thug has us by the ball...

I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
 
Mkuu ujumbe umefika pamoja na uzi huu kuhamishwa ila MR P kachelewa audience imepata ujumbe uliokusudiwa .
namaananisha jamaa wa Frank Tramontano na sio huyo umdhaniaye
 
Mwalimus personal bodyguard baada ya 1999( death) alipanda kuwa Capt. Akapewa special task force kupambana na wasomali waliovamia ngorongoro na kumuua ocd kongoa.
There after akaenda mafunzo. Kurudi el kawa pm. Akakabidhiwa.baada ya 2015 amestaafu.
Mwenziye Julie yupo kwa jpm
you mean A.T?
 
No lakini Mabere Marando ni mukhabarat na speciality yake ni kutesa

next?
Ahhaaa hapa ndipo umempoteza kabisa mkuu haya mambo sometimes ukiyafikiria sana yanakuumiza ubongo. Wakili mwanakitengo alipowadhihirishia Ukawa kuwa kura azitaibiwa ajawahi kujitokeza kwenye press tena three years now.
 
Kuna wana historia wazuri kama Huyu Mohamed Said na Ahmed Rajabu, nadhani michango yao ingehitajika hapa sana, hata kwa ID fake.

ahmed Rajab hawezi kuja baada ya Majibu aliyopewa na Alli Akbar Valeyati pale Shahrbani Palace alipotumwa Al Riyami ( ripoti ipo kwa jamaa wa Magot) maybe itakuja kuwa de classified after 100 yrs sote tukisha check out.

Mara milioni angeenda kwa blad wake hapo Nizwa badala ya kwenda kwa hao ma ahlul bayt ambako the Rain maker yuko connected by kinship alishawaelekeza Qibla toka enzi za Nabii Nuhu!!!

somo: Dont hate the playa, hate the game!
 
Sio kwamba tunawakodi ila wanakuja kwa ajili ya special missions to be accomplished. Tena huwezi amini wengine wamekuja juzi juzi tu hapa kama miezi 13/14 hivi iliyopita baadhi wakiwa ile jinsia pendwa ya 'Ke'.

Ziara ilifanyika ya Pogba kwenda kwa bwana Pk kama unakumbuka. Anzia hapo sasa.
Makaburini watu wanasonya tuuuu...
 
Ahhaaa hapa ndipo umempoteza kabisa mkuu haya mambo sometimes ukiyafikiria sana yanakuumiza ubongo. Wakili mwanakitengo alipowadhihirishia Ukawa kuwa kura azitaibiwa ajawahi kujitokeza kwenye press tena three years now.
ana stroke
 
Doooh! Celestine yule Director of International Cooperation Department in the MOFA
ambaye naye alipewa burn notice Langley in the same manner kama yule aliyehamia kwa akina Dally Mpofu japo reasons zinatofautiana
 
Kabla ya kuwaza hivyo kumhusu Lowassa anza pia kuwaza kwanza kuhusu Dr.Slaa na Profesa Lipumba walikuwa ni wapinzani halisi, huku ukizingatia hao ndio ambao walikuwa nguzo kuu ya asili ya upinzani kabla ya Lowassa kuhamia upinzani na mmoja wapo alikuwa apeperushe bendera ya UKAWA nini waliwafanyia watanzania mwaka 2015 ambacho bado mpaka leo wanakiendeleza dhidi ya upinzani?

Kabla ya wewe kumwomba Aikaeli ampumzishe Lowassa, anza kwanza kumshauri Aikaeli amrejeshe Dr.Slaa kama unadhani siasa ni 1+1=2.
Acha mambo yako wewe, hujui kuwa dr, slaa na lipumba ndio waliosalitiwa na mbowe kwa kumleta LOWASSA hali ya kuwa mbowe ajua ufisadi wa LOWASSA?

Yaani unataka.kutuaminisha kuwa mbowe alifanya maamuzi sahihi ya kumsajili lowasa kugombea urais na akina slaa na lipumba walikosea kujiondoa?

Akili zingine bhana hatari sana, nenda instagram huko ndo kuna watu wenye fikra kama hizi, hapa Jf pana watu watanashati wa akili, usiwachafue.
 
Inasemekana Imran Kombe alimalizwa kwa mkono wa serikali iliyokuwepo madarakani kwa sabab alikuwa anavujisha siri kwa mpinzani wa wakati ule Mrema. Kuna utata mkubwa wa mauaji yake unabainika kwa maswali yafuatayo:
1. Kama askari walidhani ni mhalifu kwann walimpiga risasi kifuani ilhali hakuwa na silaha na alijisalimisha kwa kunyoosha mikono
2. Walipohukumiwa kunyongwa rais mkapa akabadilisha ikawa kifungo cha maisha na mwaka 2011 wakapata msamaha wakaachiwa. Baada ya gazeti la mwananchi kuandika juu ya msamaha wa Rais kikwete, Rais alikanusha na kusema yeye wakati anaingia alikuta huo msamaha ukiwepo..

Inasemekana kulkuwa na mkono wa Kagame kwny haya mauaji
Mkono wa kagame umeingia vp hapo ikiwa umesema inasemekana ameuliwa sababu ya kumpa siri Mrema ebu nyoosha maelezo yako vizuri mkuu
 
Acha mambo yako wewe, hujui kuwa dr, slaa na lipumba ndio waliosalitiwa na mbowe kwa kumleta LOWASSA hali ya kuwa mbowe ajua ufisadi wa LOWASSA?

Yaani unataka.kutuaminisha kuwa mbowe alifanya maamuzi sahihi ya kumsajili lowasa kugombea urais na akina slaa na lipumba walikosea kujiondoa?

Akili zingine bhana hatari sana, nenda instagram huko ndo kuna watu wenye fikra kama hizi, hapa Jf pana watu watanashati wa akili, usiwachafue.
kumwita mtu fisadi bila ushahidi ni zaidi ya kuwa 'puto'
 
Vinalilia ooh dstv hafu na nyie mapimb wengne msfche sana hzo code kujitia majasus saana nyuz znasomwa na kupelelezwa .... Ooh trust me new I'd.s are many hafu kama unaongea we ongea no one can shut you up .... Just speak kosoa sema ropoka sio kuweka weka macode ...... @stranded vangum haya ..... Nmemalza
January shule zinafunguliwa.... Code zipo hapo mitaani ndio ushangae humu..... Utakuwa toleo la Division 5 maana hata matoleo ya physics with chemistry hayapo ulivyo...
 
Back
Top Bottom