THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Sahihi kabisaSahihiKabisa
Masilingi hajawahi kuwa 'Kinana' wa CCM
Kinana alirithi Mikoba ya Wilson Mukama alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya before
Nae Mukama alirithi kwa Mzee Makamba na Mzee Makamba alirithi kwa Mzee Mangula na Mzee Mangula alirithi kwa Hayati Lawrence Gama na Hayati Gama alirithi kwa Hayati Horace Kolimba!
Nafasi ya mwisho ninayokumbuka aliokuwa nayo masilingi enzi ya rais mkapa ni kuwa mbunge wa muleba na waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora.
Baadae akakosa ubunge enzi ya rais kikwete akakaa benchi kwa muda mrefu hadi alipoteuliwa kuwa balozi wa kwa trump kurithi mikoba ya mama liberata mulamula aliyeteuliwa kuwa katibu mkuu foreign.