Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

SahihiKabisa
Masilingi hajawahi kuwa 'Kinana' wa CCM
Kinana alirithi Mikoba ya Wilson Mukama alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya before
Nae Mukama alirithi kwa Mzee Makamba na Mzee Makamba alirithi kwa Mzee Mangula na Mzee Mangula alirithi kwa Hayati Lawrence Gama na Hayati Gama alirithi kwa Hayati Horace Kolimba!
Sahihi kabisa
Nafasi ya mwisho ninayokumbuka aliokuwa nayo masilingi enzi ya rais mkapa ni kuwa mbunge wa muleba na waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora.

Baadae akakosa ubunge enzi ya rais kikwete akakaa benchi kwa muda mrefu hadi alipoteuliwa kuwa balozi wa kwa trump kurithi mikoba ya mama liberata mulamula aliyeteuliwa kuwa katibu mkuu foreign.
 
100%
 
Masilingi alilambishwa sakafu na Prof Anna Tibaijuka 2010 kwny kura za maoni CCM
 
What he exactly fears are the roots that have been planted, created, distributed & so far well maintained by the Boyz II men et al.

Ndio maana anaishia kufanya maigizo bandarini tena maigizo yenyewe yale ya akina Tom & Jerry. Ulishawahi kuskia wapi kwa mfano mtu eti umeokota kitu alafu ghafla wataka kinunua mwenyewe?

Yaani uokote vichwa vya treni havina mwenyewe alafu eti anavinunua. Swali linakuja anavinunua kwa nani? Si vimeokotwa?

So mwisho wa siku wazee wa slow jams system yao bado inamtesa sana Pogba ndio maana ikabidi tu aseme anapata frustrations.
Tena wanamtesa sanaaaa, Tujiulize tu kwanini vikao vya familia nyumbani kuanzia pale nyumba kubwa kwa wala ubuyu na huku mjini haviiishi, kila siku vikao vya familia,, na nimepata kusikia hata zile chaguzi za koo mbalimbali waliopatikana wengi ni ndugu wa kabila la jirani kule kaskaz
 
hiyo ishanitokea over 15 times...ila walitoka bila bila!
Hahaha over 15 times, haahaahh zote hizo unawaruka tu? hahaha we ndio kiboko yao sasa mkuu, zidi kumwaga nondo mkuu
 
What he exactly fears are the roots that have been planted, created, distributed & so far well maintained by the Boyz II men et al.

Ndio maana anaishia kufanya maigizo bandarini tena maigizo yenyewe yale ya akina Tom & Jerry. Ulishawahi kuskia wapi kwa mfano mtu eti umeokota kitu alafu ghafla wataka kinunua mwenyewe?

Yaani uokote vichwa vya treni havina mwenyewe alafu eti anavinunua. Swali linakuja anavinunua kwa nani? Si vimeokotwa?

So mwisho wa siku wazee wa slow jams system yao bado inamtesa sana Pogba ndio maana ikabidi tu aseme anapata frustrations.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo lak anataka kucheza peke yake
 
Back
Top Bottom