DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Mada ilihama zamani sana maana kila kitu wameshatoa mwanga wa kitu kilicho tokea, hapa naona ni muendelezo wa aftermath ndio maana wengi kwa sasa wameamua kukaa pembeni.Mada imahama sio kuhusu daktari wa mifugo tena?
Besides inasemekana kuna IDs mpya nyingi tu kwenye hii thread.