Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

Lutubija na kushauri uwasiliane Askofu Gwajima pale kawe DSM akufanyie classifications kati ya ambao ni marehemu na ambao ni misukule.

Baada ya kufanya hivyo ndipo ukaribishe michango ya wanaJafo.
 

Nadhani Mzee KIGUNGE anaweza kuwa anatupa ujumbe kwa mlango wa nyuma.



Je wakati huo nako KITENGO ilikuwa kazini against Nyerere wishes au ni ajali tu.

Ni vigumu kufikia tamati bila baadhi ya maswali kupata majibu.

Au ni Kazi ya KITENGO nje ya anayozungumzia Kingunge?



Cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
 

ngoja tuwang'oe madalakani awawatu tutapata ukweli wa vitu vingi.....
 
Dah!
Kwann serikali hii haipend maendeleo mtu akifanya kitu kizuri na cha kuleta maendeleo wanamuondoa whyy!!!!!!!???
 
Bila shaka maelezo yako ni majibu tosha juu ya mauaji ya mpendwa wetu na kijana mahiri wa kimasai

Jamani wamasai wanauthubutu.namkumbuka sokoine alivyowahenyesha wahujumu uchumi hadi wengine wakatelekeza marumbesa ya fedha vichakani.Sokoine alikuwa kiongozi mwenye kuweza fanya maamuzi magumu.Namwona mwingine kaamua kuvaa viatu hivyo na naamini ataweza.
 
jf kuna vitukoo..kwan kuuliza n ujinga jaman..
 
Wakati Fulani watoto wake walitaka kuuhamisha mwili wake, hivi hili zoezi lilifanikiwa?
 
Kama aliyeua ni msouth basi ilikuwa planned
 
Yaani mkuu maelezo yako nimeyaelewa kupita kiasi asante kidogo nami nimetoka usingizini sasa
 
Kashakufa huyo tyri, hata ukijua atakusaidia nn?
 
2014 ya post yako, 2016 uchunguzi unaendelea, na kaburi tutalifukua tuupate ukweli.
 
Ni
Kashimba au prof shaba?
 
Kiatu farasi naomba utume tena hzo picha
 
Nyie wakongwe kwani zamani haya magari yanayotangulia kusafisha njia hayakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…