Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

Mhhh aise mbona hatari
 
Tukipata jibu lake mzizi wa fitna utaisha
 
Daah
 
Mkuu mbona unanitishia tena? nina haki ya kutaka kujua mambo haya muhimu ukizingatia mi ni mwalimu wa masomo yanayo landana na matukio ya nchi yetu.
Angalia usijepata matatizo kama aliyopata mwalimu wa Sarafina remember?
 
acha kufukua makaburi. JPM atakuzingua
 
Hizo nyingine hisia za watu tu, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari full stop.Baadae utakuja na kusema kuna utata na kifo cha amina chifupa ,,,acha mambo hizo.
 
Najiuliza tu kwa nini aliachiwa huru.
 
Tunaulizia sokoine lkn kifo cha juzijuzi tu cha balali mpaka leo ni utata .......watu hadi familia yake haikupewa uhuru ktk msiba....
Serikali ilikosa pesa za kumsafirisha kutoka marekani ili azikwe tz
 
Alifariki mchana kwenye saa saba hivi. Tangazo rasmi likatolewa na Nyerere jioni kuanzia saa kumi.
 
Calvary Temple Assemblies of God
 
Wewe pia umesimuliwa. Kama ni kweli ulikuwa chuo mwaka huo ungekumbuka kuwa hakukuwa na waziri aliyeitwa Barongo. Edward Barongo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, na ni miongoni mwa waliokamatwa katika sakata la uhujumu uchumi, akawekwa mahabusu na kushitakiwa. Sokoine alipofariki Barongo alikuwa anasota mahabusu. Jamaa za Barongo na watu wengine waliokuwa kwenye list ya uhujumu walishangilia sana waliposikia Sokoine kafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…