Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

Niwakumbushe kitu. Wakati Sokoine akiwa Waziri Mkuu, Msaidizi wake alikuwa Horace Kolimba. Inatosha kusema hivyo!
 
Kama umefanya utafiti nilitegemea ungekuja na majibu hayo maswali. Mtafiti usiyejua hata mkoa ajali ilipotokea basi ni mtafiti mwenye mashaka hata makumbusho hujaenda. Au labda unataka kukumbusha ndugu, jamaa zake na watanzania machungu.
 
huyu nae c ni msomi, hana cha kufanya na elimu aliyonayo!muda wote huo anahangaika na mali za urithi.ni upuuzi wa hali ya juu!
 
jamani pamoja pamoja na kusoma cuba bado hata cha kufanya hana kupata kipato?
 

nitakutafuta unihadithie unachokifahamu maana kip hicho nilikuwa na miezi miwili tu duniani.
 
huyu nae c ni msomi, hana cha kufanya na elimu aliyonayo!muda wote huo anahangaika na mali za urithi.ni upuuzi wa hali ya juu!
 
Niwakumbushe kitu. Wakati Sokoine akiwa Waziri Mkuu, Msaidizi wake alikuwa Horace Kolimba. Inatosha kusema hivyo!

kuna siri nzito kwa watu hawa sokoine,kolimba,kombe na wana fanana kitu kimoja vifo vyao havikuwa vya kawaida.KWELI ITASHINDA KESHO KAMA LEO HAITOSHI.
 

Unamaanisha ibada ilivunjika ili mumuone Sokoine?
 
kwa nnn derva amethibitishwa kuwa ni chazo cha ajali lakini akaachiwa huru!!!???utata unazidi tu!!!
 
hamna kitu hapo,mnavunja ibada kisa kumuona marehem!!!??na mlijuaje nje kuna mwili wa sokoine unapita wkt kanisa limejengewa(si open space)???inamaana hukuconcetrate kyn ibada,mawazo yote yapo nje!!!!duh kwa mungu si kwa mzungu!!!labda utaenda kwa fast jet!!!
 
kuna karume day na nyerere day kwa sababu wao walikuwa maraisi.moringe alikuwa waziri mkuu tu,je tukisema lila waziri mkuuawe na siku yake ya kuadhimiswa kutakuwa na siku ngapi za mawaziri wakuu kote bara na visiwani!!!!???iweje yeye peke yake atengewe siku yk kwa kipi hasa!!!??na mawaziri wengine watajisikiaje akitengewa siku yake peke yake???cha msingi unapokuwa na madaraka wajengee watoto wako,ndugu na hata marafiki maisha,ukifa watakuenzi.lkn ukiwaacha hohehahe ndo ya akina makongoro na huyo lazaro!!!???hawamuoni riz!!!???
 
Pole kijana hata sura inaonyesha umechoka pole sana ndio tzania
 

Huyu LazaroMshenzi sana Hizo Kodi za Watz zlizomsomesha Cuba akapata elimu haikumsaidia??? nyambafu au alikuwa anakula bata tu? watoto wa vigogo eashenz sana wazee wao wanawalea vzur tena kwa kodi zetu matokeo yake wanaishia kulewa na umalaya, ona sasa kutopewa cheo chochote ina maanisha wewe ni mburula sasa na mimi nasema lala sana chini, na mkee akumbie sana eee maana hakuna jins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…