MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,005
huyu nae c ni msomi, hana cha kufanya na elimu aliyonayo!muda wote huo anahangaika na mali za urithi.ni upuuzi wa hali ya juu!
Alikuwa anakula bata tu CUBA, *****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu nae c ni msomi, hana cha kufanya na elimu aliyonayo!muda wote huo anahangaika na mali za urithi.ni upuuzi wa hali ya juu!
jamani pamoja pamoja na kusoma cuba bado hata cha kufanya hana kupata kipato?
Mmmhhh so nini pia kilichomuua Horace Kolimba?
huyo kijana anaonekana kachoka kachakaa hana hata mia mfukoni hiwezi kumfananisha na riz1 kiuchumi hata kidogo.
nimeona maswali yako. ila hujaweka utata wowote. sema wewe ulikuwa hujazaliwa AMA ulikuwa mdogo. waliokuwa watu wazima wanajua Majibu ya maswali yako yote. je dumisan dube umewahi kumsikia? yuko hai mtafute Ana majibu yoteWadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati sokoine kwa vile alipo fariki nilikua bado sijazaliwa,nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi mazingira halisi ya ajali hiyo kwa msingi huo napenda kushare na nyie maswali kadhaa;
1.ajali iliyo sababisha kifo cha sokoine ilikua ya aina gani? kupinduka kwa gari,kugongana uso kwa uso? ama kugonga mti?
2.katika hiyo ajali hayati sokoine na dereva wake walifia papo hapo ama hospitali?
3.kama ni ajali ya magari kugongana uso kwa uso vipi kuhusu dereva na watu walio kuwemo kwenye gari ya pili walikufa ama wako hai?
4.kama wakk hai vipi dereva alichukuliwa hatua gani? maelezo ya dereva yanasemaje?
4.Ushahidi wa mashuhuda wa hiyo ajali wanasemaje?
5.Uchunguzi wa polisi unatoa maelezo gani kuhusu ajali iliyo sababisha kifo cha sokoine? ni uzembe wa madereva? au ni matatizo ya kiufundi? ama ni conspiracy?
6.Eneo la ajali ni wapi? i mean kijiji,kata,wilaya na mkoa gani na ilikua mda gani mchana au usiku?
7.KWA NINI HAKUNA SOKOINE DAY KWENYE KALENDA YA NCHI YETU KAMA ILIVYO NYERERE DAY NA KARUME DAY?
kuna maswali mengi sana ila kwa leo naomba niyaweke hayo muhimu.
Chinga 1.
hiyo Lazaro wakati babaake anakufa alikuja , an aonekana ni kichaa Fulani. mbona Joseph mdogo wake alielewa na hana shida yuko us ubalozini. not sure though niliwahi kuiutana naye DC akaniambia hivyo.huyo kijana anaonekana kachoka kachakaa hana hata mia mfukoni hiwezi kumfananisha na riz1 kiuchumi hata kidogo.
Knowledge is power!Hii fukua fukua hii mwishoni tutaishia kupigana vita.Let gone be the bygones aliyekufa hafufuki jamani
Majembe ya ukweli nchi hii hayadumu
Hii fukua fukua hii mwishoni tutaishia kupigana vita.Let gone be the bygones aliyekufa hafufuki jamani
Hii fukua fukua hii mwishoni tutaishia kupigana vita.Let gone be the bygones aliyekufa hafufuki jamani