Kwani huyo vi senti alitaka nyerere afe lini? Usimpake matope mkapa
ikifika wakati tukikosa hoja za msingi za kujadili ni bora tuhahie kwenye jokes tukaongeze muda wa kuishi huko
Habari hii imekanushwa na vincent nyerere.
huyu vincet,anatakiwa akapimwe akili kama ziko sawa,huku ni kutafuta umaarufu wa kipumbavu ambao hauta mpeleka popote,wente akili wenzake wanasimama kuzungumza vitu vya maana kwa Taifa hili yeye anatafuta umarufu kupitia kwa Mwalimu Jk Nyerere(R.I.P)..WE KAMA UNAUSHAHIDI SI UENDE MAHAKAMANI KULIKO UNAITA WAANDISHI KUTOA KASHFA HALAFU UNAWAAMBIA ETI KWA SASA SIWEZI ZUNGUMZA CHOCHOTE..SASA ULIWAITA WAANDISHI WA HABARI WA NINI? WENZIO WENYE BABA YAO MZAZI AKINA MAKONGORO NA MKE WAKE MARIA WAMETULIA TU KWA SABABU WANAJUA UKWELI WW UNALETA UPUMBAVU USIO NAMAANA...YOTE HAYO KISA BEN ALIKUKATA KUWA WEWE SIO FAMILIA YA NYERERE..HAHAHA ACHA SIASA ZA KIPUMBAVU,SIASA ZISIZO NA VISION WALA MASHIKO
Hapana. Kagasheki hajawahi kuwa balozi London. Aliyekuwa balozi wakati wa kifo cha Mwalimu ni Shareef. Yuko mambo ya nje.Hivi kweli mkapa ni wakumuua Nyerere.Ngoja kagasheki aje atupe ukweli manake ndo alikuwa balozi kule london
Vicent ndo aliepoteza
Kwa kweli hii naona ni campaign chafu dhidi ya raisi wa awamu ya tatu ambaye hadi sasa wa Tz wengi wanamtamani. Kutafuta sifa ama kusafisha jina si lazima kuchafua wengine.
Hii mambo inasemagwa sana kwenanye makundi makundi ya dini fulani ili kuona tu kwamba raisi wa Kristo wana makosa na hawafai japo ndio walioleta ufanisi mkubwa katika nchi kulinganisa na wale wengine.
Jamani hii ni kitu mbaya. Acheni.
Mwisho mtasema Nyerere alimuua Sophia Kawawa sijui wakati kawawa alikuwa na nini nini ! ACHENI UZUSHI!
nani anapaswa kutangulia mahakamani?
kuumbe Nyerere alimuua Sophia kawawa