Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Naelewa hilo, sehemu kama Kenya hawachekeani so unachukua tahadhari.
Lkn Tz mwonekano na matendo ni mafuta na maji
ndio maana mm nimependa baada ya kuyasoma humu maana hisia zangu zilikua zinakataa kama haya mambo hayapo TZ,

Ila ss hivi sina doubt tena najua yapo na yanaendelea maana binadamu wameumbiwa tamaa sana, mambo ya uongozi hasa serikalini sio mazuri kama una roho nyepesi.
 
Sipendi kabisa kung'ang'ania utumwa huo, yaani hugeuka kijiwe cha majungu na fitna
 
Sipendi kabisa kung'ang'ania utumwa huo, yaani hugeuka kijiwe cha majungu na fitna
Inashangaza ss kuna watu wanapenda kiasi kwamba wapo tayari kufanya lolote ili wapate hayo mamlaka makuu..

Hata ukiangalia kwenye vitabu vya Mungu...wale waliokuwa wanapenda madaraka ya juu walikuwa na mwisho mbaya, madaraka sio mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…