Toa element za udini hapa.Safi saana kama kweli bmw alimfanyizia huyo mzee maana alikuwa haishi kumtusi mwinyi na alimkataa jmk kwa makusudi ili bmw awe rais yakamkuta mdini saana huyo marehemu jkn
hivi vijimambo bana. watoto wake wa damu na mke wake mbona wako kimya wa pembeni ndio wanaongea
Ni kweli Mwalimu alikuwa na maumivu makali sana kwa sababu alikuwa na Saratani ya Damu tangu kabla ya mwaka 1989. Kama kifo chake kinatokana na kutopelekwa kwa wakati kwenda kutibiwa hilo ndilo la kujadiliana kwani Mwaka 1989 alipelekwe Uingereza na kufanyiwa Operesheni kuondoa sehemu iliyoshambuliwa na Kansa.
Ni kuendelea kufichua yaliyokuwa yamejificha.
Mambo ya siasa za maji taka haya! Tumuache Nyerere apumzike kwa amani. Tumeamua kuvuana nguo na kutukanana kama ndio standard ya siasa za leo za Tanzania. Hakika tutaanza kuvuna tunayopanda.
CCM mnakazi kweli kweli. yaani mmejiandaa kupinga kila kitu au ndio mnafuata maelekezo ya mwenyekiti wenu ya kujibu mashambulizi. yaani mnapinga kila kitu, soon mtapinga Jina lenu. Mbona CDM hawapingi kwamba DR SLAA alikuwa Padri? mnajiaribia sana kupambana na ukweliSitaki kuamini kama ni watu wa CDM ndo wanauleta uchafu kama huu sasa eti kama silaha ya kisiasa....
Jitambulisheni nyie ni nani....
Ignoring this, is like keeping yourself blind to the shinng sky
Ngoja ninunue bando.
Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?
Tiba
Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?
Tiba
wapigania uhuru waliouwa kenya wakati wa vita vya maumau walilipwa fidia zao miaka kama miwili iliyopita. Nyerere kafa miaka 12 iliyopita.Ni miaka mingi imepita tangu Mwalimu alipofariki bila hoja za namna hii kuibuka. Iweje kampeni za Jimbo la Arumeru mashariki ndiyo iwe chanzo? Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani....amina.
Maneno mazito sana haya kutoka kwa kiongozi aliyejitolea kulikomboa Taifa lake.
Mwalimu akakataa kata kata, akasema; "kama hawataki... hawa hawataki kunitibu niache nifie hapa hapa nyumbani kwangu". Gachuma alimbembeleza sana, lakini Mwalimu alikataa, amesema ndugu huyo.
Wewe ndiye uliyechoka sio wote hujiulizi mbona watu wanaongelea kina Mkwawa, Kwame Nkrumah, George Washington waliokufa zamani kwanini tusizungumzie Nyerere aliyekufa just 10 years ago.
Anayekutwa na ngozi ndiye muuaji Mkapa alikuwa na kila uwezo wa kumuhudumia Nyerere lakini alipuuzia, upuuzi wake ndio watu wanaouhoji alikuwa na nia gani na maisha ya mwasisi wa taifa hili? Hata mimi nitahoji kwa sababu Nyerere ananihusu zaidi ya Kikwete.Kama shida ilianza tangu enzi hizo hapa Mkapa anaingiaje kwa kubeba zigo lote la dhambi?