smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Mke wa Masanja yeye km yeye! aliona ile ndo njia rahisi kwake kumaliza utata tena kwa amani! kuliko kumsemea katibu kwa mumewe! ambye huenda angemfukuza kazi na kumtangaza vibaya!
Huyu dada/mama kijana aliona huruma za ki mama! alijua ni kijana tu kateleza shetani kamuingia na aliamini yataisha salama na yule ni mwanume! kuumbe katibu alipo muona shamas wakike maweee!
akahisi tonge limeondoka na mchungaji alikuwa km rafiki/mtoa maisha kwake! sasa kitendo cha kusema alitakiwa kufanya hivi mara vile hayo ni yenuuuu!! watu hawafanani akili! hilo mlijue pia!