Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Hivi huyu marehemu katibu, hana ndugu wenye kutafakarisha akili zao juu ya tukio hili?
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu marehemu katibu, hana ndugu wenye kutafakarisha akili zao juu ya tukio hili?
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Cha ajabu hapo ni kipi na hao ni washirika wa kanisa moja. Je angewezaj kwenda peke ake na ye ni mke wa mtu? Labda uje na case nyingne lakini hao hapo lengo wamlinde jamaa maan ni katibu wa kanisa analomiliki mume wa huyo anaetongozwa. Hujui kuwa lengo linaeza kuwa ni kumuonya jamaa kwamba hilo swala aache likiwa kubwa linaeza kuwa na madhara kwa pande zote. Na ni nani anaemuua mtu na kuandika sababu ambazo polisi watamrudia mwenyewe achen kukuza mambo madogo.Huenda uko sahihi. [emoji2] Hasa pale kamanda aliposema, kuwa mama mchungaji aliambatana na mama mtu mzima kwenda nyumbani kwa marehemu kumwambia kuwa hamtaki na hataki messages zake. Mambo ya kitaalamu haya, mke wa mtu anasindikizwa nyumbani kwa mume wa mtu kwenda kumkataa[emoji1787]
majibu yatapatikanaaaaaaa 🤔🤔🤔Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali.
Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na kwamba katibu amejiua kwa kukataliwa baada ya kuwa akimtongoza Monica.
Inasemekana marehemu, alikuwa akimtumia jumbe za kimapenzi, jambo ambalo lilimfanya Monica akiwa na mama mtu mzima(hakutajwa jina) kufika nyumbani kwa marehemu siku moja kabla ya kifo chake kwa leo kumuhabarisha kuwa hataki kutumiwa jumbe hizo na wala hawezi kuwa nae kwa vile yeye ni mke wa mtu.
UTATA MTUPU…!
Kwa sisi wapenda documentaries za crime, hizi sababu zinaleta utata kuliko majibu. Katika matukio ya vifo kama hivi vinavyohusika mapenzi au fedha, lazima kitu kiitwacho MOTIVE kiwe established.
Katika wahusika wote watatu katika tukio hili, mtu mwenye motive kubwa ni Masanja. Haijalishi alikuwepo nchini au hakuwepo wakati tukio linatokea.
Ukifikiri kwa kina, haina maana ya mtu kujinyonga kisa kukataliwa, tena na mke wa mtu. Na ni mke wa mtu gani eti anakwenda nyumbani kwa anayemtongoza ili kumkataa? Kama amekuwa anamkataa siku zote, alishindwaje kumtaarifu mumewe kuwa katibu amevuka mstari? Badala yake akaenda na mama mtu mzima nyumbani kwa marehemu ili kumtaarifu juu ya kumkataa?
Je, ni kweli marehemu alijinyonga? Au amenyongwa halafu cover up imefanyika?
Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)
Uzuri kamanda amesema maelezo yake ya leo ni uchunguzi wa awali na bado wanaendelea. Naamini majibu yatapatikana tu, ila Masanja Mkandamizaji aangaliwe kwa ukaribu sana. Ndiye mtu pekee mwenye MOTIVE ya kuchezesha mambo. Simu za wahusika wote zikaguliwe kwa kina, na majibu yatakuwemo humo.
Kanisa analomiliki mme wa unaemtongoza unadhani lingeisha vipi? Hao maybe walitaka kumlinda nd maan wakaenda. Ngoj nkupe scenario moja watumishi wa kanisa moja huwa wana kawaida ya kutembeleana so kama mtu kateleza kiwango hicho ili kumlinda mnaeza kuwa kama mnamtembelea normal routine halafu mkamaliza kila kitu huko huko. Sitetei hyo case ila sababu inayotumiwa kwa uchunguzi wa wadau humu hain mashiko.Haiingii akilini,mke wa bwana mkubwa "kumfuata nyumbani,katibu akisindikizwa na mama ambaye jina lake halijatajwa"!!
,Kwa nini asingeripoti katika uongozi wa kanisa???
Mtu ambae una ukaribu nae kiasi fulani unaeza mchoma kirahisi hivo bila hata kuzungumza nae yeye kwanza achen masihara maan huyo siyo stranger hapo kanisani ni katibuKumbuka kuna uhusiano wa "baba mchungaji na katibu wa kanisa",kama kijana alikataliwa,walishindwa nini kumuita katika uongozi wa kanisa?? Badala yake wakaenda kwake kumuambia aache kutuma ujumbe wa mapenzi??
Mama mchungaji anamblock vipi katibu wa kanisa? Na je mchungaji asingehoji? Hii sidhan kama ni point ya msingi mkuu.Ujumbe unaonyesha kuku aliliwa manyoya SAsa labda alitaka kuchonga mzinga.
Ila hii ya kukodi mtu mzima akamuonye mwendazake kwa demu matured uleta shaka,si angekula tu block na kufukuzwa asikae ikulu.
DSTv Channel 171Inapatikana wapi hiyo
Hii mipolisi ni mijitu ya ajabu sana. Inawezekanaje watoe conclusion wakati uchunguzi bado haujakamilika kwa 100%. Nchi ya kiqumer sana hii.Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali.
Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na kwamba katibu amejiua kwa kukataliwa baada ya kuwa akimtongoza Monica.
Inasemekana marehemu, alikuwa akimtumia jumbe za kimapenzi, jambo ambalo lilimfanya Monica akiwa na mama mtu mzima(hakutajwa jina) kufika nyumbani kwa marehemu siku moja kabla ya kifo chake kwa leo kumuhabarisha kuwa hataki kutumiwa jumbe hizo na wala hawezi kuwa nae kwa vile yeye ni mke wa mtu.
UTATA MTUPU…!
Kwa sisi wapenda documentaries za crime, hizi sababu zinaleta utata kuliko majibu. Katika matukio ya vifo kama hivi vinavyohusika mapenzi au fedha, lazima kitu kiitwacho MOTIVE kiwe established.
Katika wahusika wote watatu katika tukio hili, mtu mwenye motive kubwa ni Masanja. Haijalishi alikuwepo nchini au hakuwepo wakati tukio linatokea.
Ukifikiri kwa kina, haina maana ya mtu kujinyonga kisa kukataliwa, tena na mke wa mtu. Na ni mke wa mtu gani eti anakwenda nyumbani kwa anayemtongoza ili kumkataa? Kama amekuwa anamkataa siku zote, alishindwaje kumtaarifu mumewe kuwa katibu amevuka mstari? Badala yake akaenda na mama mtu mzima nyumbani kwa marehemu ili kumtaarifu juu ya kumkataa?
Je, ni kweli marehemu alijinyonga? Au amenyongwa halafu cover up imefanyika?
Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)
Uzuri kamanda amesema maelezo yake ya leo ni uchunguzi wa awali na bado wanaendelea. Naamini majibu yatapatikana tu, ila Masanja Mkandamizaji aangaliwe kwa ukaribu sana. Ndiye mtu pekee mwenye MOTIVE ya kuchezesha mambo. Simu za wahusika wote zikaguliwe kwa kina, na majibu yatakuwemo humo.
Nothing, but my nothing is better off than your somethingSo what do you know about investigative discovery?
Hongera. Umeshinda.Nothing, but my nothing is better off than your something
Mkuu ubarikiweHongera. Umeshinda.
Umekua mtu mzima sasa! ndo maana unaona wanawake wako ivo! lkn ki ukweli wanawake wako vilevile walivyo kuwa na mwanao pia akikua atasema ivoivo! (ke wa siku hizi) lkn kwa sasa bado kijana wanamtolea nje!Siku hizi wanawake wamelegea sana.
Ni kujichekesha chekesha tu