Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Ndiyo kijikanisa tu

Ova
Kuna mdada kaanzisha cha kwake hapa mtaani, halafu anajiita nabii,
Anapiga pesa hatari, alikuwa kapanga chumba kimoja cha udongo kabla hajaanzisha kanisa sahivi ndani ya mwaka tu ana nyumba nzuri, Umeme na. Maji ndani.
Yupo mbioni kuvuta gari.
 
Watanzania wengi waamini miujiza
Kuona....
Wajinga ni wengi.......
Si unamuona kule zumarid anateseka na wafuasi wake

Ova
 
Hili nalo linaleta maswali mengi sana. Kuna jinsi mtu aliye guilty anaact kwa jinsi baada ya tukio kutokea. Huenda hii kusamehe labda alishasemehe siku nyingi baada ya kushtukia mchezo na kuamua ni nini atamfanya katibu.
Tukio limetokea, ghafla ushasamehe, na unakimbilia kupost mitandaoni. Sio jinsi ambavyo ungetegemea mtu aact baada ya kufiwa na katibu wake na hapo agundue katibu huyu alijiua kisa mahusiano na mkewe. Sio rahisi kibinadamu
Bhasi tu Rushwa ni adui wa haki ilaa Yule jamaa kamalizwaa
 
Mkuu umenikumbusha channel yangu pendwa...Investigation Discovery..kuna wabobevu huko na manguli wa hizi kazi,kuna mamilioni ya kesi kama hizi za Masanja ambazo zimekua solved.
vitu kama hivyo huvipati azam tv ya waswahili unavipata DSTV watu wenye akili pekeee
 
Masanja ameshatua nchini kutoka USA kama dakika 25 zilizopita ,amepokelewa na Mkewe Monica pamoja na Mc Luvanda na Mkewe Lilian masha.

View attachment 2377408
Ndio wachungaji wanatakiwa kuwa hivi
, mtu amepoteza maisha na tena sio mtu wa mbali ni katibu wa kanisa lako unapata wapi nguvu ya kusherekea Public eti kwa sababu unataka kuwaprove watu wrong
Kumbukeni: namzungumzia katibu wa kanisa lako namzungumzia mtu ambae walikua wakiiishinae nyumba moja many year unapata wapi nguv ya hawa watu kusherekea hivi
Jamaaa amezikwa ata siku mbili bado yaani namzungumzia hata kaburi la marehem halijakauka ? Je mmewahi kufikiria mke wa marehem? Mmewah kuwafikiria ndugu wa marehem mama mzazi na Baba mzazi wa marhem??????
Mungu atupe hekima hiii mitandao isitusahaulishe utu
 
Peoples wanataka kusikia Masanja has found guilty and nothing else na mke wa Mtu Ni sumu so huyo Marehemu , he has reap what he sow that All.

Ikigundulika Umeua Unatakiwa Uuliwe nawe Over!
MUNGU tuu ndio mwenye Mamlaka ya Kuuam/Kutoa Roho sababu ndio Ameumba Over!
Quid pro quo…[emoji30]
 
Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)
Ina maana ni Katibu pekee ndiye alimtamaani Monica? (...imeandikwa amtamaniye mwanamke tayari amezini naye) obvious ni wengi maana anasifika kwa uzuri japo binafsi sijamuona, je Mkandamizaji atawaeliminate wote wanaomtamani?
 
Inasemekana marehemu, alikuwa akimtumia jumbe za kimapenzi, jambo ambalo lilimfanya Monica akiwa na mama mtu mzima(hakutajwa jina) kufika nyumbani kwa marehemu siku moja kabla ya kifo chake
Huyo mama mtu mzima ahoojiwe
 
Hii ishu ingepita bila maswali kama polisi wangeondoa hiko kitendo cha mama mchungaji kwenda nyumbani kwa katibu ili kumkataa. Ukifikiria hapo, ni kuwa mama mchungaji huenda alikuwa amechoka na haya mahusiano yake na katibu kwa hiyo akamchukua huyo mmama (ili amsaidie kumalizana na katibu huku mambo yakibakia kuwa siri) na baada ya hili katibu akajinyonga. Kinyume na hilo mumewe anahusika. The rest of the story doesn’t make sense. Watu wanaoachwa ndo wanajiua sio wanaokataliwa

[emoji1614] watu wanaoachwa ndo wanaojiua sio wanaokataliwa FACT mno na ni halisi
 
Daah kwa hiyo huyo Monica ili anikatae mimi inatakiwa apande bus akiwa na Mama mtu mzima kuja kwangu Kiteto kunipa taarifa sema hii movie itakua na mwsiho tu ngoja sterling azaliwa mwingine kama movie za Kihindi...
 
Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali.

Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na kwamba katibu amejiua kwa kukataliwa baada ya kuwa akimtongoza Monica.

Inasemekana marehemu, alikuwa akimtumia jumbe za kimapenzi, jambo ambalo lilimfanya Monica akiwa na mama mtu mzima(hakutajwa jina) kufika nyumbani kwa marehemu siku moja kabla ya kifo chake kwa leo kumuhabarisha kuwa hataki kutumiwa jumbe hizo na wala hawezi kuwa nae kwa vile yeye ni mke wa mtu.

UTATA MTUPU…!

Kwa sisi wapenda documentaries za crime, hizi sababu zinaleta utata kuliko majibu. Katika matukio ya vifo kama hivi vinavyohusika mapenzi au fedha, lazima kitu kiitwacho MOTIVE kiwe established.

Katika wahusika wote watatu katika tukio hili, mtu mwenye motive kubwa ni Masanja. Haijalishi alikuwepo nchini au hakuwepo wakati tukio linatokea.

Ukifikiri kwa kina, haina maana ya mtu kujinyonga kisa kukataliwa, tena na mke wa mtu. Na ni mke wa mtu gani eti anakwenda nyumbani kwa anayemtongoza ili kumkataa? Kama amekuwa anamkataa siku zote, alishindwaje kumtaarifu mumewe kuwa katibu amevuka mstari? Badala yake akaenda na mama mtu mzima nyumbani kwa marehemu ili kumtaarifu juu ya kumkataa?

Je, ni kweli marehemu alijinyonga? Au amenyongwa halafu cover up imefanyika?

Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)

Uzuri kamanda amesema maelezo yake ya leo ni uchunguzi wa awali na bado wanaendelea. Naamini majibu yatapatikana tu, ila Masanja Mkandamizaji aangaliwe kwa ukaribu sana. Ndiye mtu pekee mwenye MOTIVE ya kuchezesha mambo. Simu za wahusika wote zikaguliwe kwa kina, na majibu yatakuwemo humo.
Inakuhusuje ?
 
pia waigague nyumba yake huenda akawa ana uza asprin[emoji16]
 
Back
Top Bottom