King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Masanja ameshatua nchini kutoka USA kama dakika 25 zilizopita ,amepokelewa na Mkewe Monica pamoja na Mc Luvanda na Mkewe Lilian masha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi mauwaji mengi yanatokea na wauwaji wapo nje tu huko uraiani wanadunda....How convenient kwamba eti wakati yote hayo yakitokea Masanja yuko zake nje ya nchi
Watu wa Investigation Discovery mnanielewa. Hizi mambo watu wanazifanya sana sema tu polisi wetu ni utopolo hili suala halitaenda popote
Si ndiyo hawa hawa wanao tuambia eti "mahabusu amejinyonga mikononi mwao kwa kutumia dekio"!! Unajiuliza dekio na kujinyonga mtuhumiwa kituoni hapo hapo, wapi na wapi! Na siyo tukio moja!! Ni zaidi ya matukio mawili! Na sababu za kifo tunaambiwa ni dekio!
Hawa jamaa huwa wanatuchukulia kama mang'ombe vile.
Waandae tamasha watu watajaaaMasanja ameshatua nchini kutoka USA kama dakika 25 zilizopita ,amepokelewa na Mkewe Monica pamoja na Mc Luvanda na Mkewe Lilian masha.
Nchi mauwaji mengi yanatokea na wauwaji wapo nje tu huko uraiani wanadunda....
Polisi wetu kwenye matukio ya kuumiza kichwa kutafuta ushahidi wnakataga tamaa mapema kuendelea na uchunguzi
Heby tujikumbushe kidogo,yule mtoto
Aliyekutwa kafa huko kimara temboni
Hivi beki tatu ndiyo alionekana ameua au?polisi walikuja na majibu gani
MamaSamia2025
Ova
Hahahaa kabisa maana bongo mambo ya kijinga ndiyo yanapewa AIRTIME sana na kweli atajaza nYOMI ya maana.Waandae tamasha watu watajaaa
Kuwashangilia
Ova
Wewe ulishuhudia kwamba yule binti kule Ngoreme/Serengeti kwamba alivuliwa nguo?Huu uandishi unareflect kiwango kidogo sana cha kufikiria. Pole sana.
Na mm nikuobgezee swali hapo.Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali.
Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na kwamba katibu amejiua kwa kukataliwa baada ya kuwa akimtongoza Monica. Inasemekana marehemu, alikuwa akimtumia jumbe za kimapenzi, jambo ambalo lilimfanya Monica akiwa na mama mtu mzima(hakutajwa jina) kufika nyumbani kwa marehemu siku moja kabla ya kifo chake kwa leo kumuhabarisha kuwa hataki kutumiwa jumbe hizo na wala hawezi kuwa nae kwa vile yeye ni mke wa mtu.
UTATA MTUPU…!
Kwa sisi wapenda documentaries za crime, hizi sababu zinaleta utata kuliko majibu. Katika matukio ya vifo kama hivi vinavyohusika mapenzi au fedha, lazima kitu kiitwacho MOTIVE kiwe established.
Katika wahusika wote watatu katika tukio hili, mtu mwenye motive kubwa ni Masanja. Haijalishi alikuwepo nchini au hakuwepo wakati tukio linatokea.
Ukifikiri kwa kina, haina maana ya mtu kujinyonga kisa kukataliwa, tena na mke wa mtu. Na ni mke wa mtu gani eti anakwenda nyumbani kwa anayemtongoza ili kumkataa? Kama amekuwa anamkataa siku zote, alishindwaje kumtaarifu mumewe kuwa katibu amevuka mstari? Badala yake akaenda na mama mtu mzima nyumbani kwa marehemu ili kumtaarifu juu ya kumkataa?
Je, ni kweli marehemu alijinyonga? Au amenyongwa halafu cover up imefanyika?
Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)
Uzuri kamanda amesema maelezo yake ya leo ni uchunguzi wa awali na bado wanaendelea. Naamini majibu yatapatikana tu, ila Masanja Mkandamizaji aangaliwe kwa ukaribu sana. Ndiye mtu pekee mwenye MOTIVE ya kuchezesha mambo. Simu za wahusika wote zikaguliwe kwa kina, na majibu yatakuwemo humo.
Msamaha imategemeana na moyo wa mtu, considering yy ni kiongozi wa ki roho ivyo lzm atakuwa aliongozwa na matendo ya huruma na kuamua kusamehe ..maana hata Bwana yetu Yesu Kristo aliwasamehw wale wateai wake walio msulubisha pamona na peteo aliyemkanaSuspicious no 2
Kwa nini masanja akatuma mtandaoni post ya kumsamehe mkewe siku moja baada ya tukio? Alikuwa na haraka gani? Alikuwa anajua kinachoendelea na kitakachotokea!?
Huko USA kila wakati ana inshu gani?Masanja ameshatua nchini kutoka USA kama dakika 25 zilizopita ,amepokelewa na Mkewe Monica pamoja na Mc Luvanda na Mkewe Lilian masha.
View attachment 2377408
yes it's possible ukiangalia kweny hii angle mke wa jamaa ka decide this time it's over for good mwamba akawa bado Ana hangover ya penz la kuiba mke akatumia busara kushirikisha mtu mzima mwenye kutunza siri kum convince kijana a move on na maisha yake lakn kijana medulla ikagoma aka test mitambo kutishia ku commit suicide ili msukuma aback down lakn cha ajabu akapewa green light take ur miserable life mwamba akaandika testimony akafanya yake kwa nn hii ni suicide not murderTena akisindikizwa na mtu mwingine[emoji28][emoji28]
Mtafute Mbaba mtu mzima uende ukamkatae kwake..[emoji23]Wazee Kuna dem anamiliki traako laini, ananitaka na mimi nimeshaoa na amjua wife.
Sasa nampiga chini ili nione Kama atajinyonga.
Si Ana Ngo yake hiyoHuko USA kila wakati ana inshu gani?
Kanisa Lake hilo?Si Ana Ngo yake hiyo
Wadau si wako huko
Ova
Yani ndio ushakuta sasa.Hapo ukute wanamlinda Masanja
Mke wa marehem yupo wapi aongee
Imeisha hiyoHivi huyu Katibu hana Jina?
Habari ni Monica , Masanja na Katibu
Kwanini wasiandike Jina lake kamili je kuna watu wameshikishwa hela tayari?
Mbona wanatetea haraka na majibu mepesi kuwa kajinyonga bila upelelezi kumalizika
Kama wanataka tujue yote waseme fulani tumemuita anahojiwa na prime suspect ni huyo
Joas Steven.Hivi huyu Katibu hana Jina?
Habari ni Monica , Masanja na Katibu
Kwanini wasiandike Jina lake kamili je kuna watu wameshikishwa hela tayari?
Mbona wanatetea haraka na majibu mepesi kuwa kajinyonga bila upelelezi kumalizika
Kama wanataka tujue yote waseme fulani tumemuita anahojiwa na prime suspect ni huyo