gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kisheria, sheria za wapi?.. sheria za mipaka kimataifa ni nchi zinazoshea water body basi mpaka ni katikati ya water body,mito ya tanzania ndiyo inajaza maji hilo ziwa,tuwatoze kwa kila tone?..mpaka upo pwani ya tanzania,je maji yakiongezeka mpaka utaendelea kuingia tanzania au yakipungua mpaka utaingia malawi?Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Alafu nahisi wengine walikuwa wanapakiwa pale Malimu nyerere memorial academy pale Kigamboni Ili waende huko Unguja maana Kuna makaburi ya Masharifu wa Karne hizo(17-19) walikuwa wanatolewa Lindi na maeneo mengine.ππππ Waguse pwani waone...wapemba wanamatatizo...
Yaani wamanyema wa Tabora,pua Pana kama yangu walienda Unguja kipindi hiko Cha Biashara ya meno ya ndovu ..Leo wanajifanya ni waarabu...ππππ Bila ya Okelo mgetawaliwa hadi kesho....
Zanzibar ni mkoa wetu,period.
Nafikiri wadau kwenye huu mjadala wanataka kuona vithibitisho vya kisheria kwamba Ziwa hili ni mali ya Malawi kwa sheria hii ya mwaka fulani.Mipaka yote ya bara la Afrika iliwekwa na wakoloni, na hiyo ndio tuliweza kurithi baada ya uhuru na sheria za UN zinatamka wazi, mipaka ya kikoloni ya kisheria ndio mipaka rasmi baada ya uhuru. Mpaka wa kikoloni unatamka wazi kuwa Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi japokuwa lilikuwa linapakana na nchi tatu (Malawi, Tanzania, Msumbiji), leo hii Msumbiji ana umiliki pia wa sehemu ya ziwa Nyasa baada ya kuridhiana na Malawi kumpa sehemu ya ardhi yake yenye milima ili yeye (Msumbiji) apate sehemu ya ziwa hivyo mpaka wa Malawi na Msumbiji ukabadilishwa kisheria. Tanzania tumekataa kuridhiana na Malawi ili nasi tupate sehemu ya ziwa kisheria.
Hoja ya Tanzania ni moja tu, mkataba wa kikoloni ulioipa Malawi umiliki wote wa Ziwa haukuwa wa haki, hivyo haupaswi kurithiwa, upigwe chini. Hayo sasa ndio mambo ya kisheria, siku moja tutajadili upya hapa JF japokuwa ilishajadiliwa sana humu.
Malawi ndio walifungua kesi mkuu.Tulifungua kesi kihuni na kimihemko, tukaishia kwenye usuluhishi baada ya kunusa kuwa tutapigwa kama kawaida yetu kwenye kesi za kimataifa. Majadiliano ya usuluhishi ni janja janja ya kuvuta muda, kupiga pesa nk.
Baada ya Membe kuukosa urais, uliwahi kumsikia akizungumzia hiyo kitu?
Sijakuelewa wewe mtoa mada kwani Google si wanaweka mipaka Kwa kufuata maelekezo au kuangalia ramani husikaSerikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Hiyo Pwani inaanzia wapi na inaishia wapi?Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Hiyo Shetia ya nani? Nani aliweka huo mpaka?Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Hapo sasa ndo hata watake ngumi zitapigwa tuHao jamaa walisema hadi Mkoa wa Mbeya upo Malawi..
Mtu kama wewe unatakiwa ufumuliwe tu Marinda.Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Wewe ni Zombi lililoshiba urojo. Eti Malawi waliridhoa kuwapa Msumbiji sehemu ya Ardhi yao. Hiyo historia ulisemea ulisomea Mchambawima.Mipaka yote ya bara la Afrika iliwekwa na wakoloni, na hiyo ndio tuliweza kurithi baada ya uhuru na sheria za UN zinatamka wazi, mipaka ya kikoloni ya kisheria ndio mipaka rasmi baada ya uhuru. Mpaka wa kikoloni unatamka wazi kuwa Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi japokuwa lilikuwa linapakana na nchi tatu (Malawi, Tanzania, Msumbiji), leo hii Msumbiji ana umiliki pia wa sehemu ya ziwa Nyasa baada ya kuridhiana na Malawi kumpa sehemu ya ardhi yake yenye milima ili yeye (Msumbiji) apate sehemu ya ziwa hivyo mpaka wa Malawi na Msumbiji ukabadilishwa kisheria. Tanzania tumekataa kuridhiana na Malawi ili nasi tupate sehemu ya ziwa kisheria.
Hoja ya Tanzania ni moja tu, mkataba wa kikoloni ulioipa Malawi umiliki wote wa Ziwa haukuwa wa haki, hivyo haupaswi kurithiwa, upigwe chini. Hayo sasa ndio mambo ya kisheria, siku moja tutajadili upya hapa JF japokuwa ilishajadiliwa sana humu.
Kwa sumbi umenikumbusha mbali sana nduguYaani masika nikiangalia mto kiwila na song we unavyoyamimima maji kwenda kwa Sumbi halafu eti Sumbi gwa kumalabhi....nakamo..
Atukuketa, kibhoko tukimenye atukukomana.
Ameamua kuja Kucheza na hisia zetu huyu aidha Kwa kujua ama kutokujua.Hujui hata Makubaliano ya Berlin Conference 1884-85.
Let alone ushenzi wa Leopard II aliuofanya huko Congo (enhe sikia tu) hadithi za kugawa hiyo mipaka na ushenzi wa wazungu.
Unazungumza habari za UN, clear hujui historia ya Africa.
What do they teach you
Ningekuwa na nafasi serikalini ningesema usakwe unyofolewe walau kucha, ujinga mwingine sio wa kuvumiliwa.
Yaani kabisa unachezea mipaka ya nchi na kuna mataahira yanakuunga mkono.
Ziwa mpaka ni katikati, hadithi kama hizi ndo zilimuingiza nyerere vitani na Uganda.Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Hile ni shamba la iwekezaji kama ambavyo Watangayika na wageni wengine Wana umiliki iwekezaji Zanzibar. Hati ya iwekezaji ikiisha muda wake mnatimka. Au RAIS akiamka anafuta hati kwa maslahi ya wananchi. Rudi darasani kasomee upya kidogo kuhusu mipaka ya nchi na maeneo ya uwekezaji.Hivi unajua Zanzibar tuna eneo letu rasmi kisheria huko Tanganyika maeneo ya Bagamoyo. Ni maelfu ya ekari, eneo kubwa huenda zaidi ya nchi ya Vatican. Hivyo wazanzibar wote tunaweza kuja hapo Tanganyika, tukaanzisha taifa letu jipya dogo ndani ya taifa lenu huku tukila mema ya Tanganyika huku mazombi ya kitanganyika yakieendelea kulia lia.
Tanganyika ni shamba fulani la bibi mzee sana.
Hivyo ukae utulie tu.
Niishie hapo.
Wana utani sana hawa wamalawiHao jamaa walisema hadi Mkoa wa Mbeya upo Malawi..
Kuzichapa sio suluhishoMe naona tuzichape tu ili hili suala liishe
Wakati wa masika tenende yote Ile inafurika maji hadi inakuwa ngumu kupita kwenda Ipinda na kyela...maji yoote yanakwenda Sumbi...halafu mpemba mmoja anakuja kusema maji yakishaingia kwa Sumbi...yanakuwa siyo yetu tena,yanakuwa ya Malawi..πππ bora ziwa lingekuwa mbaaaaliii huko...lakini ni hapohapo kyela....ππππ We mpemba nenda kale maembe ng'ong'o. Utakuwa hujitambui..
Kwahiyo hata usipa wa Kwa Sumbi ni wa Malawi,inabidi tutozwe Kodi?
Loli untu gwako ukakanunu.