Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Kisheria, sheria za wapi?.. sheria za mipaka kimataifa ni nchi zinazoshea water body basi mpaka ni katikati ya water body,mito ya tanzania ndiyo inajaza maji hilo ziwa,tuwatoze kwa kila tone?..mpaka upo pwani ya tanzania,je maji yakiongezeka mpaka utaendelea kuingia tanzania au yakipungua mpaka utaingia malawi?
 
😂😂😂😂 Waguse pwani waone...wapemba wanamatatizo...
Yaani wamanyema wa Tabora,pua Pana kama yangu walienda Unguja kipindi hiko Cha Biashara ya meno ya ndovu ..Leo wanajifanya ni waarabu...😂😂😂😂 Bila ya Okelo mgetawaliwa hadi kesho....
Zanzibar ni mkoa wetu,period.
Alafu nahisi wengine walikuwa wanapakiwa pale Malimu nyerere memorial academy pale Kigamboni Ili waende huko Unguja maana Kuna makaburi ya Masharifu wa Karne hizo(17-19) walikuwa wanatolewa Lindi na maeneo mengine.
SEMA WANAJISAHA SANA HAWA WAZENJI.
 
Mipaka yote ya bara la Afrika iliwekwa na wakoloni, na hiyo ndio tuliweza kurithi baada ya uhuru na sheria za UN zinatamka wazi, mipaka ya kikoloni ya kisheria ndio mipaka rasmi baada ya uhuru. Mpaka wa kikoloni unatamka wazi kuwa Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi japokuwa lilikuwa linapakana na nchi tatu (Malawi, Tanzania, Msumbiji), leo hii Msumbiji ana umiliki pia wa sehemu ya ziwa Nyasa baada ya kuridhiana na Malawi kumpa sehemu ya ardhi yake yenye milima ili yeye (Msumbiji) apate sehemu ya ziwa hivyo mpaka wa Malawi na Msumbiji ukabadilishwa kisheria. Tanzania tumekataa kuridhiana na Malawi ili nasi tupate sehemu ya ziwa kisheria.

Hoja ya Tanzania ni moja tu, mkataba wa kikoloni ulioipa Malawi umiliki wote wa Ziwa haukuwa wa haki, hivyo haupaswi kurithiwa, upigwe chini. Hayo sasa ndio mambo ya kisheria, siku moja tutajadili upya hapa JF japokuwa ilishajadiliwa sana humu.
Nafikiri wadau kwenye huu mjadala wanataka kuona vithibitisho vya kisheria kwamba Ziwa hili ni mali ya Malawi kwa sheria hii ya mwaka fulani.

Google Map brother? Come on man, you are better than that.
 
Mleta mada ni mfano mzuri wa wajinga, wasaliti, na wahaini.

Ukiachana na hiyo mikataba na makubaliano ya kikoloni, umoja wa mataifa ( UN)ulishatoa mwongozo wa mipaka katika rasilimali maji.

Umoja wa Mataifa ( UN) unatambua rasilimali maji ni moja ya basic needs za wanadamu kote duniani, hivyo; popote penye mpaka unaogusa maji, Nchi zote husika zitanufaika ( share) maji kwa pande zote.

Maji ni haki ya mwanadamu yeyote, hauwezi kumzuia mwanadamu aliye upande Fulani wa maji ( hasa ziwa ai mto mkubwa) asinufaike nayo.

Hili sakata ni harakati za kijinga na kishamba kwa watu wasio na elimu kwenye International conflicts Resolutions ( ICRs).

Google wao hupokea data tu na hawana mandate na hawatambuliki kimataifa katika kuchora mipaka ya nchi.

Wewe hupaswi kupuuzwa unapaswa KUSHUGHULIKIWA ipasavyo.
 
Tulifungua kesi kihuni na kimihemko, tukaishia kwenye usuluhishi baada ya kunusa kuwa tutapigwa kama kawaida yetu kwenye kesi za kimataifa. Majadiliano ya usuluhishi ni janja janja ya kuvuta muda, kupiga pesa nk.

Baada ya Membe kuukosa urais, uliwahi kumsikia akizungumzia hiyo kitu?
Malawi ndio walifungua kesi mkuu.
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Sijakuelewa wewe mtoa mada kwani Google si wanaweka mipaka Kwa kufuata maelekezo au kuangalia ramani husika
Kwahiyo Google lazima wachore hivyo Kwa sababu wao wamefuata maelekezo kutoka Malawi
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Hiyo Pwani inaanzia wapi na inaishia wapi?

Nani aliyegawa huo mpaka wa Pwani?

Nani huyo aliyepata Mamlaka ya kuwanyima haki vizazi vilivyokuwa vikiishi Pwani ya Ziwa upande wa Tanzania tangu asili kwamba Leo wao hawana haki ya kuingia Ziwani maana Ziwa ni la Vizazi vya upande wa pili wa Malawi?

Mambo mengine unatakiwa kutumia tu ubongo kwa usahihi.
 
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Hiyo Shetia ya nani? Nani aliweka huo mpaka?
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Mtu kama wewe unatakiwa ufumuliwe tu Marinda.
 
Mipaka yote ya bara la Afrika iliwekwa na wakoloni, na hiyo ndio tuliweza kurithi baada ya uhuru na sheria za UN zinatamka wazi, mipaka ya kikoloni ya kisheria ndio mipaka rasmi baada ya uhuru. Mpaka wa kikoloni unatamka wazi kuwa Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi japokuwa lilikuwa linapakana na nchi tatu (Malawi, Tanzania, Msumbiji), leo hii Msumbiji ana umiliki pia wa sehemu ya ziwa Nyasa baada ya kuridhiana na Malawi kumpa sehemu ya ardhi yake yenye milima ili yeye (Msumbiji) apate sehemu ya ziwa hivyo mpaka wa Malawi na Msumbiji ukabadilishwa kisheria. Tanzania tumekataa kuridhiana na Malawi ili nasi tupate sehemu ya ziwa kisheria.

Hoja ya Tanzania ni moja tu, mkataba wa kikoloni ulioipa Malawi umiliki wote wa Ziwa haukuwa wa haki, hivyo haupaswi kurithiwa, upigwe chini. Hayo sasa ndio mambo ya kisheria, siku moja tutajadili upya hapa JF japokuwa ilishajadiliwa sana humu.
Wewe ni Zombi lililoshiba urojo. Eti Malawi waliridhoa kuwapa Msumbiji sehemu ya Ardhi yao. Hiyo historia ulisemea ulisomea Mchambawima.
 
Mkataba unaosema Malawi Ina full umiliki wa hilo ziwa,pia unasema Rwanda&Burundi ni Tanganyika...Sasa sijui unashauri vipi hapo?
Mikataba ya kimataifa inatambua mipaka majini ni katikati ya eneo la maji.
 
Hujui hata Makubaliano ya Berlin Conference 1884-85.

Let alone ushenzi wa Leopard II aliuofanya huko Congo (enhe sikia tu) hadithi za kugawa hiyo mipaka na ushenzi wa wazungu.

Unazungumza habari za UN, clear hujui historia ya Africa.

What do they teach you

Ningekuwa na nafasi serikalini ningesema usakwe unyofolewe walau kucha, ujinga mwingine sio wa kuvumiliwa.

Yaani kabisa unachezea mipaka ya nchi na kuna mataahira yanakuunga mkono.
Ameamua kuja Kucheza na hisia zetu huyu aidha Kwa kujua ama kutokujua.
 
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Ziwa mpaka ni katikati, hadithi kama hizi ndo zilimuingiza nyerere vitani na Uganda.
 
Hivi unajua Zanzibar tuna eneo letu rasmi kisheria huko Tanganyika maeneo ya Bagamoyo. Ni maelfu ya ekari, eneo kubwa huenda zaidi ya nchi ya Vatican. Hivyo wazanzibar wote tunaweza kuja hapo Tanganyika, tukaanzisha taifa letu jipya dogo ndani ya taifa lenu huku tukila mema ya Tanganyika huku mazombi ya kitanganyika yakieendelea kulia lia.
Tanganyika ni shamba fulani la bibi mzee sana.
Hivyo ukae utulie tu.

Niishie hapo.
Hile ni shamba la iwekezaji kama ambavyo Watangayika na wageni wengine Wana umiliki iwekezaji Zanzibar. Hati ya iwekezaji ikiisha muda wake mnatimka. Au RAIS akiamka anafuta hati kwa maslahi ya wananchi. Rudi darasani kasomee upya kidogo kuhusu mipaka ya nchi na maeneo ya uwekezaji.

Zanzibar tu yote ni Mali ya Tanganyika
 
Wakati wa masika tenende yote Ile inafurika maji hadi inakuwa ngumu kupita kwenda Ipinda na kyela...maji yoote yanakwenda Sumbi...halafu mpemba mmoja anakuja kusema maji yakishaingia kwa Sumbi...yanakuwa siyo yetu tena,yanakuwa ya Malawi..😂😂😂 bora ziwa lingekuwa mbaaaaliii huko...lakini ni hapohapo kyela....😂😂😂😂 We mpemba nenda kale maembe ng'ong'o. Utakuwa hujitambui..
Kwahiyo hata usipa wa Kwa Sumbi ni wa Malawi,inabidi tutozwe Kodi?
Loli untu gwako ukakanunu.
 
Back
Top Bottom