Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
Haya ndugu yetu....how does it feel to be a hater? He owns the house, just be happy for him.Straight Live Talk(In Le Mutuz Voice) sipindishi maneno,Huo Mjengo ungekuwa wa Mondi Insta yote ingejaa mapicha picha ya Vyumba vyote,Mpaka sasa tumeona picha ya aina moja tu iliyosambaa mtandaoni.
awaumbue mara ngapi?Kitu gani ambacho aliwahi kusema kanunua au kafanya watu wakakosa kusema anadanganya.
Tatizo watu kisa hawana uwezo hawaamini macho yao pale mtoto wa tandale anapofanya yale waliyoshindwa kufanya wale wanaojiita watoto waliozaliwa ushuani.
Walianza hana mbegu akampa mimba zari akapata mtoto.
Wakaja tena mange eti mtoto wa katunzi mara ivan; wakaanza DNA Mungu akawaambua mtoto diamond copy.
Wakaanza kazaa na bibi mara sijui nini.
Na hili atawaumbua
Nitakuwa wa Mwisho kuamini kama Dimondi kanunua huo Mjengo...Hakuna cha kuumbuka ni matter of time tu.
Akili za kimaskini utazijua tu, kila mtu anatarget zake kwenye maisha kwasababu anapesa usimlazimishe anunue nyumba masaki au ostabayhuhitaji kutumia akili nyingi kutambua kwamba ile nyumba hajanunua DIAMOND bali ni ule utaratibu wa kutafuta kiki tu.. Hapa kwao Bongo kashindwa kujenga au kununua nyumba maeneo ya maana kama Masaki, O- bay, Mbezi Beach, Capri Point au hata kijenge.. Amejenga eneo lisilopimwa kule Mivumoni Wazo Hill tena kwenye mkondo wa mto..
Wewe kweli ni MAVI..!huhitaji kutumia akili nyingi kutambua kwamba ile nyumba hajanunua DIAMOND bali ni ule utaratibu wa kutafuta kiki tu.. Hapa kwao Bongo kashindwa kujenga au kununua nyumba maeneo ya maana kama Masaki, O- bay, Mbezi Beach, Capri Point au hata kijenge.. Amejenga eneo lisilopimwa kule Mivumoni Wazo Hill tena kwenye mkondo wa mto..
Kijana nawajua watz wote wanaomiliki nyumba pale South Africa..na wengine tunafikia kwenye Hotel zao tukienda kwenye mambo yetu.. Hivyo naongelea jambo ninalolijua hoja ya msingi kwa nini kajenga kwenye eneo lisilopimwa na walala hoiAkili za kimaskini utazijua tu, kila mtu anatarget zake kwenye maisha kwasababu anapesa usimlazimishe anunue nyumba masaki au ostabay
Wenzako wamafanya maendeleo wewe kazi yako kupiga majungu
pangua hoja kwa hoja zenye mashiko acha kuleta porojo.. Siongeia kwa kubahatisha hapa kiazi weweWewe kweli ni MAVI..!
Endelea kujidanganya ile ya madale ni moja ana nyumba salasala ana ana nyumba 3 kanununu tabata hata miezi 2 haijaisha pole sana kijana endelea kuota mwenzako ndo anafanikiwaKijana nawajua watz wote wanaomiliki nyumba pale South Africa..na wengine tunafikia kwenye Hotel zao tukienda kwenye mambo yetu.. Hivyo naongelea jambo ninalolijua hoja ya msingi kwa nini kajenga kwenye eneo lisilopimwa na walala hoi
wabongo mtakufa kwa roho mbaya. kwani ukimsifia mtz mwenzio kwa kitu kizuri utakufa???huhitaji kutumia akili nyingi kutambua kwamba ile nyumba hajanunua DIAMOND bali ni ule utaratibu wa kutafuta kiki tu.. Hapa kwao Bongo kashindwa kujenga au kununua nyumba maeneo ya maana kama Masaki, O- bay, Mbezi Beach, Capri Point au hata kijenge.. Amejenga eneo lisilopimwa kule Mivumoni Wazo Hill tena kwenye mkondo wa mto..
mapovu ya nini sasa... kununua eneo lisilopimwa wengi wananunua then unapimiwa na hati inatoka. wengine walionunua mashamba wamefanya hivyo. Kawachapa bakora za kutosha mliosema mjengo sio wake. Ana nyumba 2 /3 sinza, kunduchi, madale na tandale. wewe una ngapi uliyeshi SA miaka na kuwajua wabongo wenzio. mtakoma mwaka huu. muda wa kutafuta hamna, mna muda wa kutokwa mapovu kwa wenye navyo.....Kijana nawajua watz wote wanaomiliki nyumba pale South Africa..na wengine tunafikia kwenye Hotel zao tukienda kwenye mambo yetu.. Hivyo naongelea jambo ninalolijua hoja ya msingi kwa nini kajenga kwenye eneo lisilopimwa na walala hoi
kwa uwezo ambao tunaambiwa anao na hiyo mitaa unayonitajia basi ni mtu wa kawaida kiuwezo na sio kama tunavyoambiwa,,jenga hoja bado unaruka ruka tu kama churaEndelea kujidanganya ile ya madale ni moja ana nyumba salasala ana ana nyumba 3 kanununu tabata hata miezi 2 haijaisha pole sana kijana endelea kuota mwenzako ndo anafanikiwa
Aana wivu mpaka anaumwaDada ana shida sana yule,kaishageuka stalker wa maisha ya watu, 24hrs kichwa kinawaza bullying tu.
huo ushamba na ulimbukeni wako weka pembeni turudi kwenye hoja ya msingi..mimi nina proud sana kwa watanzania wenzangu thats why nimesema nafikia kwenye hotel za wabongo nikienda SA.. Hivi unajua unatakiwa kuwa nan sifa zipi kule SA Africa hadi mgeni uweze kumiliki propety? Kama hujui basi nyamaza kimya huwezi kuendelea na mjadala huumapovu ya nini sasa... kununua eneo lisilopimwa wengi wananunua then unapimiwa na hati inatoka. wengine walionunua mashamba wamefanya hivyo. Kawachapa bakora za kutosha mliosema mjengo sio wake. Ana nyumba 2 /3 sinza, kunduchi, madale na tandale. wewe una ngapi uliyeshi SA miaka na kuwajua wabongo wenzio. mtakoma mwaka huu. muda wa kutafuta hamna, mna muda wa kutokwa mapovu kwa wenye navyo.....
Hoja kusema unawajua watanzania wote wenye nyumba south africa? Hahaha we kweli chengakwa uwezo ambao tunaambiwa anao na hiyo mitaa unayonitajia basi ni mtu wa kawaida kiuwezo na sio kama tunavyoambiwa,,jenga hoja bado unaruka ruka tu kama chura
Usikose kwenda kwenye bday ya rich mavoko huko leo maana wa tz wote mmealikwa, hakuangalia wema na wabaya, wote mmeambiwa muende. punguza mapovu Mondi kafanya, na wewe fanya yakohuo ushamba na ulimbukeni wako weka pembeni turudi kwenye hoja ya msingi..mimi nina proud sana kwa watanzania wenzangu thats why nimesema nafikia kwenye hotel za wabongo nikienda SA.. Hivi unajua unatakiwa kuwa nan sifa zipi kule SA Africa hadi mgeni uweze kumiliki propety? Kama hujui basi nyamaza kimya huwezi kuendelea na mjadala huu
kaa kijiweni uendelee kusoma udaku.. tunaongea tunayoyajua kwa Sheria za Makaburu kijana Diamond bado hajakidhi vigezo vya kununua nyumba kule labda yule dada aliyezaa nae anaweza kuwa na vigezoHoja kusema unawajua watanzania wote wenye nyumba south africa? Hahaha we kweli chenga
Hao unaowataja wote siwajui ninachoongelea mimi ni fact ya Nassib kuwa na sifa za kumiliki land assert SA.. tusiwe rahisi kudanganyika ..wema alisema anamiliki nyumba na watu wakakubali.. ukweli huwaga haufichiki hata siku moja lazima utakuja juu tuUsikose kwenda kwenye bday ya rich mavoko huko leo maana wa tz wote mmealikwa, hakuangalia wema na wabaya, wote mmeambiwa muende. punguza mapovu Mondi kafanya, na wewe fanya yako