Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Kitu gani ambacho aliwahi kusema kanunua au kafanya watu wakakosa kusema anadanganya.
Tatizo watu kisa hawana uwezo hawaamini macho yao pale mtoto wa tandale anapofanya yale waliyoshindwa kufanya wale wanaojiita watoto waliozaliwa ushuani.
Walianza hana mbegu akampa mimba zari akapata mtoto.
Wakaja tena mange eti mtoto wa katunzi mara ivan; wakaanza DNA Mungu akawaambua mtoto diamond copy.
Wakaanza kazaa na bibi mara sijui nini.
Na hili atawaumbua
awaumbue mara ngapi?
AHAHHAHAHHAHAHA
wanatupostia frame za maduka hapa
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
da20410034f03479d07ae771278454be.jpg
 
huhitaji kutumia akili nyingi kutambua kwamba ile nyumba hajanunua DIAMOND bali ni ule utaratibu wa kutafuta kiki tu.. Hapa kwao Bongo kashindwa kujenga au kununua nyumba maeneo ya maana kama Masaki, O- bay, Mbezi Beach, Capri Point au hata kijenge.. Amejenga eneo lisilopimwa kule Mivumoni Wazo Hill tena kwenye mkondo wa mto..
 
Akili za kimaskini utazijua tu, kila mtu anatarget zake kwenye maisha kwasababu anapesa usimlazimishe anunue nyumba masaki au ostabay
Wenzako wamafanya maendeleo wewe kazi yako kupiga majungu
 
Wewe kweli ni MAVI..!
 
Akili za kimaskini utazijua tu, kila mtu anatarget zake kwenye maisha kwasababu anapesa usimlazimishe anunue nyumba masaki au ostabay
Wenzako wamafanya maendeleo wewe kazi yako kupiga majungu
Kijana nawajua watz wote wanaomiliki nyumba pale South Africa..na wengine tunafikia kwenye Hotel zao tukienda kwenye mambo yetu.. Hivyo naongelea jambo ninalolijua hoja ya msingi kwa nini kajenga kwenye eneo lisilopimwa na walala hoi
 
Endelea kujidanganya ile ya madale ni moja ana nyumba salasala ana ana nyumba 3 kanununu tabata hata miezi 2 haijaisha pole sana kijana endelea kuota mwenzako ndo anafanikiwa
 
huhitaji kutumia akili nyingi kutambua kwamba ile nyumba hajanunua DIAMOND bali ni ule utaratibu wa kutafuta kiki tu.. Hapa kwao Bongo kashindwa kujenga au kununua nyumba maeneo ya maana kama Masaki, O- bay, Mbezi Beach, Capri Point au hata kijenge.. Amejenga eneo lisilopimwa kule Mivumoni Wazo Hill tena kwenye mkondo wa mto..
wabongo mtakufa kwa roho mbaya. kwani ukimsifia mtz mwenzio kwa kitu kizuri utakufa???
Wenye pesa wote sasa hivi wanaishi nje kabisa ya mji. masaka na huko wengine wanaishi wapangaji, in case you didn't know. Mbezi beach si sawa na kuishi sinza. Alihitaji eneo kubwa lenye hewa, sio kubanana kama mko manzese. Masaki kuna nyumba gani sasa hivi ya kutoa mtu roho zaidi ya frame za biashara. hebu acheni roho za korosho, lol...
 
Kijana nawajua watz wote wanaomiliki nyumba pale South Africa..na wengine tunafikia kwenye Hotel zao tukienda kwenye mambo yetu.. Hivyo naongelea jambo ninalolijua hoja ya msingi kwa nini kajenga kwenye eneo lisilopimwa na walala hoi
mapovu ya nini sasa... kununua eneo lisilopimwa wengi wananunua then unapimiwa na hati inatoka. wengine walionunua mashamba wamefanya hivyo. Kawachapa bakora za kutosha mliosema mjengo sio wake. Ana nyumba 2 /3 sinza, kunduchi, madale na tandale. wewe una ngapi uliyeshi SA miaka na kuwajua wabongo wenzio. mtakoma mwaka huu. muda wa kutafuta hamna, mna muda wa kutokwa mapovu kwa wenye navyo.....
 
Endelea kujidanganya ile ya madale ni moja ana nyumba salasala ana ana nyumba 3 kanununu tabata hata miezi 2 haijaisha pole sana kijana endelea kuota mwenzako ndo anafanikiwa
kwa uwezo ambao tunaambiwa anao na hiyo mitaa unayonitajia basi ni mtu wa kawaida kiuwezo na sio kama tunavyoambiwa,,jenga hoja bado unaruka ruka tu kama chura
 
mapovu ya nini sasa... kununua eneo lisilopimwa wengi wananunua then unapimiwa na hati inatoka. wengine walionunua mashamba wamefanya hivyo. Kawachapa bakora za kutosha mliosema mjengo sio wake. Ana nyumba 2 /3 sinza, kunduchi, madale na tandale. wewe una ngapi uliyeshi SA miaka na kuwajua wabongo wenzio. mtakoma mwaka huu. muda wa kutafuta hamna, mna muda wa kutokwa mapovu kwa wenye navyo.....
huo ushamba na ulimbukeni wako weka pembeni turudi kwenye hoja ya msingi..mimi nina proud sana kwa watanzania wenzangu thats why nimesema nafikia kwenye hotel za wabongo nikienda SA.. Hivi unajua unatakiwa kuwa nan sifa zipi kule SA Africa hadi mgeni uweze kumiliki propety? Kama hujui basi nyamaza kimya huwezi kuendelea na mjadala huu
 
kwa uwezo ambao tunaambiwa anao na hiyo mitaa unayonitajia basi ni mtu wa kawaida kiuwezo na sio kama tunavyoambiwa,,jenga hoja bado unaruka ruka tu kama chura
Hoja kusema unawajua watanzania wote wenye nyumba south africa? Hahaha we kweli chenga
 
huo ushamba na ulimbukeni wako weka pembeni turudi kwenye hoja ya msingi..mimi nina proud sana kwa watanzania wenzangu thats why nimesema nafikia kwenye hotel za wabongo nikienda SA.. Hivi unajua unatakiwa kuwa nan sifa zipi kule SA Africa hadi mgeni uweze kumiliki propety? Kama hujui basi nyamaza kimya huwezi kuendelea na mjadala huu
Usikose kwenda kwenye bday ya rich mavoko huko leo maana wa tz wote mmealikwa, hakuangalia wema na wabaya, wote mmeambiwa muende. punguza mapovu Mondi kafanya, na wewe fanya yako
 
Hoja kusema unawajua watanzania wote wenye nyumba south africa? Hahaha we kweli chenga
kaa kijiweni uendelee kusoma udaku.. tunaongea tunayoyajua kwa Sheria za Makaburu kijana Diamond bado hajakidhi vigezo vya kununua nyumba kule labda yule dada aliyezaa nae anaweza kuwa na vigezo
 
Usikose kwenda kwenye bday ya rich mavoko huko leo maana wa tz wote mmealikwa, hakuangalia wema na wabaya, wote mmeambiwa muende. punguza mapovu Mondi kafanya, na wewe fanya yako
Hao unaowataja wote siwajui ninachoongelea mimi ni fact ya Nassib kuwa na sifa za kumiliki land assert SA.. tusiwe rahisi kudanganyika ..wema alisema anamiliki nyumba na watu wakakubali.. ukweli huwaga haufichiki hata siku moja lazima utakuja juu tu
 
Back
Top Bottom