Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Ikiwa walisema hata uwezo wa kuzaa hana... ikiwa walisema hata Tiffa si wake kiasi cha watu eti kutaka vipimo vya DNA... seuze suala la nyumba!!! Hata yule Mzee Abdul angekuwa mambo safi halafu Chibu akawa anajipeleka, vile vile wangesema si baba yake!
 
Mange kila kitu anajua yeye khaa eti zar mzee sasa yeye na umri alokuwa nao hamfikii zari kwa mafanikio hata kidogo
 
Naona mnatiririka tu jukwaa la siasa mmetelekeza mmekuja kwa binamu zangu
 
Hivi mange na zari nani mkubwa jamani??haahaha
Jaman mange ana wivu sana pia atakua na roho mbaya yaani yote hayo kisa dai alimuacha wema
Wema mwenyew hanaga time na huyo mange,
Mange analazmisha kua maarufu
Haha Mange alikuwa maarufu tangu zamani wakati kina zari wanabadilishwa nepi.
Japo sio mshabiki sana ila hapo umepindisha ukweli.
Kufuatilia maisha ya watu sio dili kabisa. Kama hii post ilivyo tofauti yetu sie na hao wengine ni ukubwa wa audience tu.
 
hv huyo dada na familia ya baba t wana ugomv gan aisee
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yule bado anaushamba wa kiafrika kila mzungu tajiri hajui siku hizi habari ngozi nyeusi wana mawe ya hatariiii haoni huko majuu kuanzia beyonce mpaka kardashians wote wako kwa mablack mwambieni astuke
Atajua mwenywe na maisha yake
 
Hii nchi nahama. Bora nikatafute nyumba ya kuishi South Sudan. Khaaa!!!
 
Mange tushamzoea kumponda diamond ,alikosa cha kumpondea now ndio amepata hahaha
 
  • new.didiUnajimfanya mjuaaji sana tatizo ya mjini yote yako Huna nzuri kwa hao watu wayofanya yote mabaya ila naaamini Huna unaye mfikia kwa mafanikio hata mmoja wao jipange dada umri unaendaa mwenzio umri unaendaa lakin una mafanikio weka yako uliyonunua hata kibaha kazi ya chukiiiii tuu.
Weaka ya huyo mange.
 
Diamond hawez kuleta kitu asichokuwa nacho,huo utata umeutengeneza mwenyewe...
 
Back
Top Bottom