Ikiwa walisema hata uwezo wa kuzaa hana... ikiwa walisema hata Tiffa si wake kiasi cha watu eti kutaka vipimo vya DNA... seuze suala la nyumba!!! Hata yule Mzee Abdul angekuwa mambo safi halafu Chibu akawa anajipeleka, vile vile wangesema si baba yake!