Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya ilikuwa ni sera ya Chadema, haikuwahi kuwa sera ya CCM!.Sikubaliani sana na dhana yako kuwa Chadema ilaumiwe katika hili, Katiba sio ya chadema wala ya ccm, Watanzania wote tubebe lawama kwakuruhusi siasa ziteke katiba hii
Katiba mpya ilikuwa ni sera ya Chadema, haikuwahi kuwa sera ya CCM!.
Tangu mchakato unaanzishwa na CCM tuliwaonya Chadema beware of the phase "I fear the Greeks especially when they bring gifts!", Chadema hakusikia, CCM walipouleta ule muswada, tukiwategemea Chadema wangeusimamisa mchakato by doing the right thing at the right time and doing it right!, Chadema hakufanya walichopaswa kufanya!, na badala yake wakakimbilia juice, chai na vitafunwa vya Ikulu!, haps tulipofikia unadhani ndio tunaweza kufanya nini?!.
Dawa ni kwa Chadema na wengine wote kutulia tuu kama wananyolewa!, tuipate hiyo "bora katiba" msibiri kutimiza hiyo ndoto yenu ya 2015, ndipo mtuletee "katiba bora!".
Hiki unachotaka kushauri ni kutupigia tuu makelele ya mlango, the ball is set, kipenga kitapulizwa na magoli yataingia!.
Hii ni sehemu ya kulipia gharama ya kufanya kulichopaswa kufanywa, and this is the price Chadema na sisi wengine wote, must pay!.
Pasco.
Kama watachakachua katiba mpya,basi nawaomba wapinzani ajenda kubwa ya uchaguzi ujao iwe ni kutengeneza KATIBA MPYA ya watanzania!
Mkuu Yeri, kuekweli sisi ma realist, tunaiona wazi kabisa tena bila kuwa 2015 ni CCM tena, hivyo suala la kuisubiria Chadema, ni kusubiri mpaka!. Hii haina maana kuwazuia wishful thinkers na utopians na day dreamers to think positively kuwa Chadema itachukua nchi 2015, hivyo kwa hapa tulipofikia, matumizi ya nguvu za umma its too little too late!, dawa ni kutulia tuu na kunyolewa na kuzisubiria nywele ziote tena ndipo muendelee kuzichana mtindo mnaoupenda!.Pasco,
Kuuacha mchakato huu uendelee ilihali unafinyanga matakwa ya uum ni uhaini, kikundi kidogo (ccm) kinalisaliti taifa halafu unapendekeza tuache ipite tukitaraji mpaka Chadema iingie madarakani????? Isiposhida 2015 inamaana taifa litaendelea kutopea kwenye lindi la uzandiki huu???
Noooooo hapa kinachofuata ni nguvu ya umma na sio nguvu ya siasa,
Mkuu Yeri, kuekweli sisi ma realist, tunaiona wazi kabisa tena bila kuwa 2015 ni CCM tena, hivyo suala la kuisubiria Chadema, ni kusubiri mpaka!. Hii haina maana kuwazuia wishful thinkers na utopians na day dreamers to think positively kuwa Chadema itachukua nchi 2015, hivyo kwa hapa tulipofikia, matumizi ya nguvu za umma its too little too late!, dawa ni kutulia tuu na kunyolewa na kuzisubiria nywele ziote tena ndipo muendelee kuzichana mtindo mnaoupenda!.
Na kuchelewa huku kwa Chadema to do the right thing at the right time na kisha kutaka kuhsamasisha matumizi ya nguvu za umma, ndio kabissa kitaendelea kuwa put off kabisa, the right thinking members of the society hivyo Chadema kupoteza uungwaji mkono na "the elite!" hivyo kuishia kuwaandamanisha hao hao the poor of the poor and the destitues.
Na kosa hilo ndilo lilifanyika kabla ya uchaguzi wa marudia wa udiwani, sasa hivi mko bize na katiba, baada ya hapo, kuingia uchaguzi wenu wa ndani kufanga kufungua hamjajiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, mkishazikosa itakuwa ni muujiza kuja kushinda uchaguzi mkuu!. Huko ndiko mimi nilikowahi kuwaambia CHADEMA Haijajipanga!
halafu kuishia kulialia na kutaka kuwaandamanisha watu kwa kisingizio cha nguvu ya umma!.
Kwa kweli kwa hapa tulipofika, there is no way kwa Chadema, only to do the right thing, at the right time and doing it right, and I'm afraid to say, the time is not on Chadema's side, its almost too little too late!.
Pasco
Pasco
Umeongea maneno mengi sana lakini mimi bado nakurudisha kuwa nchi hii sio ya wanasiasa, umma ndio wenye kura ya turufu juu ya hili,
Umma utasimama wima kupinga udharimu huu, Ukran leo umma umeamua, Misri umma uliamua, Libya umma uliamua, Tunisia umma uliamua, Je huku vyama kama ccm havikuwepo???
Mmefulia....
Mmepoteza mashiko zaidi sana mna mchoko mkubwa
2015 hamna nguvu tena na mjue umaarufu wenu umeshuka sana...
Huwezi kukumbatia siasa za fitina bado ukabaki na nguvu never!!
Mmefulia....
Mmepoteza mashiko zaidi sana mna mchoko mkubwa
2015 hamna nguvu tena na mjue umaarufu wenu umeshuka sana...
Huwezi kukumbatia siasa za fitina bado ukabaki na nguvu never!!
Katiba mpya ilikuwa ni sera ya Chadema, haikuwahi kuwa sera ya CCM!.
Tangu mchakato unaanzishwa na CCM tuliwaonya Chadema beware of the phase "I fear the Greeks especially when they bring gifts!", Chadema hakusikia, CCM walipouleta ule muswada, tukiwategemea Chadema wangeusimamisa mchakato by doing the right thing at the right time and doing it right!, Chadema hakufanya walichopaswa kufanya!, na badala yake wakakimbilia juice, chai na vitafunwa vya Ikulu!, haps tulipofikia unadhani ndio tunaweza kufanya nini?!.
Dawa ni kwa Chadema na wengine wote kutulia tuu kama wananyolewa!, tuipate hiyo "bora katiba" msibiri kutimiza hiyo ndoto yenu ya 2015, ndipo mtuletee "katiba bora!".
Hiki unachotaka kushauri ni kutupigia tuu makelele ya mlango, the ball is set, kipenga kitapulizwa na magoli yataingia!.
Hii ni sehemu ya kulipia gharama ya kufanya kulichopaswa kufanywa, and this is the price Chadema na sisi wengine wote, must pay!.
Pasco.
Katiba mpya ilikuwa ni sera ya Chadema, haikuwahi kuwa sera ya CCM!.
Tangu mchakato unaanzishwa na CCM tuliwaonya Chadema beware of the phase "I fear the Greeks especially when they bring gifts!", Chadema hakusikia, CCM walipouleta ule muswada, tukiwategemea Chadema wangeusimamisa mchakato by doing the right thing at the right time and doing it right!, Chadema hakufanya walichopaswa kufanya!, na badala yake wakakimbilia juice, chai na vitafunwa vya Ikulu!, haps tulipofikia unadhani ndio tunaweza kufanya nini?!.
Dawa ni kwa Chadema na wengine wote kutulia tuu kama wananyolewa!, tuipate hiyo "bora katiba" msibiri kutimiza hiyo ndoto yenu ya 2015, ndipo mtuletee "katiba bora!".
Hiki unachotaka kushauri ni kutupigia tuu makelele ya mlango, the ball is set, kipenga kitapulizwa na magoli yataingia!.
Hii ni sehemu ya kulipia gharama ya kufanya kulichopaswa kufanywa, and this is the price Chadema na sisi wengine wote, must pay!.
Pasco.
Katiba mpya ilikuwa ni sera
ya Chadema, haikuwahi kuwa sera ya CCM!.
Tangu mchakato unaanzishwa na CCM tuliwaonya Chadema beware of the
phase "I fear the Greeks especially when they bring gifts!", Chadema
hakusikia, CCM walipouleta ule muswada, tukiwategemea Chadema
wangeusimamisa mchakato by doing the right thing at the right time and
doing it right!, Chadema hakufanya walichopaswa kufanya!, na badala yake
wakakimbilia juice, chai na vitafunwa vya Ikulu!, haps tulipofikia
unadhani ndio tunaweza kufanya nini?!.
Dawa ni kwa Chadema na wengine wote kutulia tuu kama wananyolewa!,
tuipate hiyo "bora katiba" msibiri kutimiza hiyo ndoto yenu ya 2015,
ndipo mtuletee "katiba bora!".
Hiki unachotaka kushauri ni kutupigia tuu makelele ya mlango, the ball
is set, kipenga kitapulizwa na magoli yataingia!.
Hii ni sehemu ya kulipia gharama ya kufanya kulichopaswa kufanywa, and
this is the price Chadema na sisi wengine wote, must pay!.
Pasco.
Mmefulia....
Mmepoteza mashiko zaidi sana mna mchoko mkubwa
2015 hamna nguvu tena na mjue umaarufu wenu umeshuka sana...
Huwezi kukumbatia siasa za fitina bado ukabaki na nguvu never!!
Jaman hapa mimi ndo huwa nasema maccm mna hamishia akili na ufahamu wenu miguuni. Hivi ccm na Cdm kipi chenye mchoko hujiuli kwanini mkiti wako alihamasisha nguvu kutumika ktk uchaguzi kalenga sasa nani ameishiwa ushawish kwa mtindo huo?
kwa akili yako suala la kupatikana katiba bora anayewajibika ni CDM?????????????
Kama taifa litaendelea kubaki na watu wenye mawazo mgando kama wewe basi tumekwisha!!!!