Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
MissM4C, hawakukosea kwenda Ikulu, bali kuna kitu Chadema ilipaswa kufanya mule bungeni, haikufanya, badala yake, wakasusa, wakatoka nje, sheria ikapitishwa bila wao, ndipo wakaitwa ikulu kubembelezewa juice, chai na vitafunwa!.
Kosa lilifanyika mwanzo na haya ni matokeo tuu!, tangu mwanzo tumepiga kele Chadema i deal na chanzo, na sasa haya ni matokeo tuu!. Kama ulishindwa kuzuia chanzo, ukafurahia juice na chai, unashangaa nini kwa matokeo haya?.
Kanisome hapa labda utanielewa Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!
Pasco.
acha vituko wée ndugu, CHADEMA hata wangebaki ndani wange influence vipi kwa idadi yao ndogo? Tumia akili japo kidogo Pasco! Kwa kutoka nje tumejua what they are standing for! Wangekaa ndani wangenekana wameunga mkono, History will tell! is just a matter of time!