Utata waibuka alipo mfanyabiashara aliyemkosoa DC Arusha - wenzake wadai yupo polisi -wapanga kugoma

Utata waibuka alipo mfanyabiashara aliyemkosoa DC Arusha - wenzake wadai yupo polisi -wapanga kugoma

Aliyetekwa ni mfanyabiashara , Tena Mwenyekiti wa Wafanyabiashara.

Wala sio Mwanasiasa, Wala sio Mwanaharakati ,Wala sio Mzalendo wa NCHI

Ni mtetezi masilahi wa Wafanyabiashara wenzake, na hapo kamkosoa DC kwa masilahi ya Wafanyabiashara wenzie.


Anatekwa.
 
Back
Top Bottom