Utatumia zaidi ya milioni 100 kufuga hawa kuku 10,000

Utatumia zaidi ya milioni 100 kufuga hawa kuku 10,000

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Habari wadau wa JF,kama wewe ni unataka kuanza ufugaji wa kuku na unafikiria uanze wapi?....Jibu ni rahisi anza na Fuga App. Itakusaidia kujifunza na kusimamia shamba lako kiurahisi sana

Ukiwa na App hii itakusaidia kujifunza kuhusu Ufugaji wa kuku maana kuna kipengele cha "Jifunze" ambacho kina makala kuhusu Ufugaji wa kuku bora wenye faida

Lakini pia kama unatamani kufahamu utahitaji shngapi na itatumika wapi, basi kuna kipengele cha makadirio kitachokusaidia na hilo
Pakua Leo Fuga App Fuga App - Poultry Farm Management for Tanzanian Farmers leo App store na playstore
Huu ni mfano kwa wanaotaka kufuga kuku 10,000 wa Mayai mpaka waone yai la kwanza(gharama za mabanda hazijawekwa)

screengrab-20260302-110453.jpg
 
Ishu soko la hayo "mayayi" 3,000 per day
Biashara kubwa usiangalie soko la kila siku kuna sehemu kila wiki mzigo unatakiwa tani 9 hivyo sio mayai mengi. Pia biashara inahitaji consistence ili uwe na uhakika pia wateja wawe na uhakika ndo maana sehemu nyingine unakuta ata pale Kilombero wana outgrower farmers in kukidhi demand ya mzigo uwezi kukidhi mwenyewe mahitaji ya soko
 
Naomba uchukue soda unitumie lipa namba boss
 
Back
Top Bottom