Biashara kubwa usiangalie soko la kila siku kuna sehemu kila wiki mzigo unatakiwa tani 9 hivyo sio mayai mengi. Pia biashara inahitaji consistence ili uwe na uhakika pia wateja wawe na uhakika ndo maana sehemu nyingine unakuta ata pale Kilombero wana outgrower farmers in kukidhi demand ya mzigo uwezi kukidhi mwenyewe mahitaji ya sokoIshu soko la hayo "mayayi" 3,000 per day
Naomba uchukue soda unitumie lipa namba bossBiashara kubwa usiangalie soko la kila siku kuna sehemu kila wiki mzigo unatakiwa tani 9 hivyo sio mayai mengi. Pia biashara inahitaji consistence ili uwe na uhakika pia wateja wawe na uhakika ndo maana sehemu nyingine unakuta ata pale Kilombero wana outgrower farmers in kukidhi demand ya mzigo uwezi kukidhi mwenyewe mahitaji ya soko