Utawajengea wakwe zako nyumba?

Nikijaaliwa uwezo sana kiasi kwamba hadi hela ya kuwajengea nione sio kitu hata ikipotea ila hivihivi labda nijenge nyumba wakae lakini hati miliki zangu.
Uchoyo...
 
Kama wewe na mkeo ni mwili mmoja, inamaanisha hata na wazazi wenu ni wenu sote

hiyo kauli ni ya kijinga na kitapeli et mwili mmoja?? how come
 
Ukiwaonesha upendo watakuheshimu tu hata kama wewe si "mtajiri" kiviile!
 
Kama wana shida sana ya makaazi nitawapa chumba kwenye nyumba yangu wakae kama wapangaji, ila kuwajengea ni umbumbumbu ufala na kujikomba mimi na wao tunamalizana kwenye mahari. Wakiwa na shida na wasaidia kama watu wengine na sio kama wakwe.
 
Uwatendee kama wazazi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…