Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, huko unakoenda siyo!kama uchoyo ni m'baya ngoja mkeo asiwe nao.
Aisee!Kuna mkaka ninamfaham yupo vizuri sana kiuchumi lakini kumpa mkewe japo elf 50 ya matumizi binafsi hampi sembuse kujengea wakwe nyumba...kuna watu ni wabinafsi sana.
Siyo kisa nipo nyuma ya keyboard mzee, Wewe umeelewaje jibu langu? Umezungumzia uchoyo kama kitu kibaya nimekujibu hivyo kwa maana ya kuonesha uchoyo una uzuri wake.Mkuu, huko unakoenda siyo!
Tuheshimiane tu hata kama tuko nyuma ya keyboard. Huwezi jua kesho na keshokutwa🙏
Kama mtoto wao tunakaa nae kwa amani na upendo nitawajengea ila kama kuna vurugu sitawajengea ili kuepuka hasara ya kujenga ukweni. Na pia nitaangalia kama wakwe zangu wananiheshimu. Unakuta masela mmea nyumba moja lakini kuna wenzako wengine wanapewa heshima kutokana na kipato chao huku we kapuku ukidharaulika ukweni hata kuku huchiwi wanachiwa wenzako. Ukweni kuna dharau sana kama huna kitu ukilinganishwa na watozi wenzako. Labda uwe peke yako ndio umeoa huko hakuna kenge mwingine wa kulinganishwa nawe
Hiyo sio dharau, kila mtu anakuwa treated kulingana na level yake. Wewe kama huna uwezo, kuku kwako unanunua sikukuu tu wakati mkwe mwenzio kununua kuku kwake ni sawa na mchicha usitake muwe treated sawa.Anhaa akija mwamba mwingine anachinjiwa kuku ila wewe ukienda ni mwendo wa soda ya fanta na ugali samaki hizo ni dharau kweli kweli
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mnaweza mkawa mwili mmoja lakini kia mmoja ana Hela zake na bajeti zake!hiyo dhana ya mwili mmoja inatoka wapi mkuu!!?Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako ni wa mkeo vile vile!
Kama wewe na mkeo ni mwili mmoja, inamaanisha hata na wazazi wenu ni wenu sote.
Wewe una mtazamo gani? Utawajengea wakwe zako nyumba?
Wao wana watoto wao wawahudumie wazazi wao, na mimi nina wazazi wangu nitawahudumia wazazi wangu. Familia nyingi za kiafrika ni masiki kwa sababu ya kuendekeza upuuzi unaoitwa undugu. yaani mtu hun ahata vinasaba nae unasema ni mzazi wako? tuache kufanya mambo mepesi yaonekane magumu. Mimi nimemuoa mtoto wao isiwe kigezo cha kutaka mimi nihudumia family tatuUwatendee kama wazazi wako
Maisha ni mapana sana kuliko unavyohisi mkuuWao wana watoto wao wawahudumie wazazi wao, na mimi nina wazazi wangu nitawahudumia wazazi wangu. Familia nyingi za kiafrika ni masiki kwa sababu ya kuendekeza upuuzi unaoitwa undugu. yaani mtu hun ahata vinasaba nae unasema ni mzazi wako? tuache kufanya mambo mepesi yaonekane magumu. Mimi nimemuoa mtoto wao isiwe kigezo cha kutaka mimi nihudumia family tatu
✅👏👏👏🙏Ni jambo la kawaida sana, sasa Kama mkeo unampenda unashindwaje kufanya jambo kwa ajili ya wazazi wake Kama uwezo upo? Inakuletea heshima zaidi
huo upana ndio kujenga ukweni kisa umepewa demu. huo ndio ulimbukeni sasa na demu mwenyewe walishindwa kumlea ndio maana hata bikra hakuwa nayoMaisha ni mapana sana kuliko unavyohisi mkuu
Aisee!Hiyo sio dharau, kila mtu anakuwa treated kulingana na level yake. Wewe kama huna uwezo, kuku kwako unanunua sikukuu tu wakati mkwe mwenzio kununua kuku kwake ni sawa na mchicha usitake muwe treated sawa.
Kama mkwe mwenzio wakilia shida ugonjwa au msiba anajitoa mara moja laki kadhaa hizo, wewe unatoa pole na maombi hamuwezi kuwa sawasawa kwenye mapokezi. Dunia iko hivyo ukijua kujipima unaounguza expectations
Kwa wengine ni kama mwiko. Na mwenye mtazamo huo hawezi kuwajengea hata kama angepewa utajiri wote wa Elon Musk.Shida yote hapa ni umasikn tu. Hakuna kingine. Sasa kama Hela ipo Kuna shida Gani?
Wewe kama kichwa cha famili, unaweza kuweka mambo sawa, halafu:Mnaweza mkawa mwili mmoja lakini kia mmoja ana Hela zake na bajeti zake!hiyo dhana ya mwili mmoja inatoka wapi mkuu!!?
Wengi wanaoana lakini uchumi hauoani!!!
Sasa kama uchumi hauoani unawezaje kujenga kwa wakwe wakati mmeoana nusu yaani via vya uzazi pekee!!?
Ngumu sana mkuu!Kuna watu tulisomesha hadi mashemeji lakini Bado hatukuaminika!!Hadi unatuma Hela za matumizi Kwa wakwe lakini hamna kitu!Wewe kama kichwa cha famili, unaweza kuweka mambo sawa, halafu:
1. Hela ya mke wako inakuwa ya kwako
2. Hela yako inakuwa ya kwenu.
Na, wakati muafaka ukifika, mtawajengea wazazi wenu wote nyumba, ukianza na wa kwako wa kukuzaa, kisha wakwe zako.
Ni kweli, ni ngumu, hasa kama haikuwa umeiweka huo msingi tokea mwanzoni. Lakini siyo kwamba haiwezekani.Ngumu sana mkuu!Kuna watu tulisomesha hadi mashemeji lakini Bado hatukuaminika!!Hadi unatuma Hela za matumizi Kwa wakwe lakini hamna kitu!
Tukaamua tuishi tu na kukubali wake zetu ni wabinafsi Dana mkuu!
Hiyo achana nayo !we fanya nafsi inavyokutuma!!
Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako ni wa mkeo vile vile!
Kama wewe na mkeo ni mwili mmoja, inamaanisha hata na wazazi wenu ni wenu sote.
Wewe una mtazamo gani? Utawajengea wakwe zako nyumba?