Utawala wa Awamu ya 5, Paulo Makonda alisingizia Watu kuuza Madawa ya kulevya bila Ushahidi wowote. Alilenga kuwadhalilisha tu

Ila Paul mhh kazi ipo
 
Wee muuza madawa ya kulevya, tuliza.

Makonda alikua hakurupuki, alikua Mwenyekiti wa usalama Wilaya, Mkoa, kwahiyo ana taarifa zote.
Kinachomtofautisha na waliopita nikwamba yeye alikua na uthubutu wa kuwataja hadharani.
Mkuu kama kweli wewe ni wa Dar huwajui waingiza unga Tanzania ? kwanini walitajwa wasiohusika huku majina halali yakiachwa ? Muogope Mungu mkuu
 
Bora ufe tu, hakuna haja ya mjinga kama wewe kuendelea kuishi kwenye nchi nzuri kama hii. Mjinga kama wewe ni hasara kwa wazazi wako na mtaji wa kwa matapeli ya kisiasa
Unataka kuniua ? Utakuwa unanionea tu mkuu , niache niishi bhana , kwani nimeandika uongo ? Usiniue Mkuu nina familia inanitegemea , naomba sana !
 
Umelipwa kiasi gani? Maana kila mtanzania anajua wauza madawa tena kwa majina na kuna mwingine kachinjwa huko ngโ€™ambo kisa kawekwa bondi. Hivyo unajifurahisha tu ila ukweli unajulikana na Paul Makonda ni hazina ya taifa!
 
Makonda alikuwa sahihi kabisa hao waliotajwa ndio wauza ngada kweli ni basi tu mifumo yetu ya kisheria na mambo za kubebana bebana
 
Najiuliza ile sauti ya kuwafokea Mawaziri na Wakuu wa mikoa itakuaje? Nakumbuka ile siku amemuita RC Dodoma "We Mkuu wa mkoa njoo hapa kwa kukimbia". Mama wa watu akatii mamlaka na kukimbia kama yupo Kili Marathon. Najiuliza iile misafara ya magari 40 itakuaje? Je ile hofu ya wakuu wa mikoa wakisikia Mwenezi anaenda kwao itakuaje? Anyway cheo ni kama koti la kuazima, leo liko kwako kesho kwa mwingine. Anywaya Shirima kanyang'anywa "Hennessy" kapewa "Banana" Tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ