Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wengine 19?Manji alitoroka 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine 19?Manji alitoroka 🐼
Ila Paul mhh kazi ipoTunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na wauzaji wa madawa ya kulevya Nchini Tanzania .
Katika kampeni yake hiyo alishirikiana kikamilifu na Simon Sirro aliyekuwa RPC wa DSM , Makonda aliungwa mkono na Vyombo vyote vya Habari vya Tanzania , ikiwemo Clouds Media aliyotuhumiwa kuivamia kwa Bunduki usiku wa manane , huku vyombo hivyo vikirusha live upuuzi wake ule bila hata kuhariri .
Waliotajwa kuhusika na Biashara hiyo bila Ushahidi wowote ni Yusufu Manji , aliyedaiwa kuwa pamoja na kuuza unga pia anabwia , Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima , Wema Sepetu , Riziwan Kikwete , Nyandu Tozi , Mwanamuziki TID , Freeman Mbowe na wengine wengi tu , Miongoni mwa waliokamatwa ni Josephat Gwajima , TID , NYANDU TOZI na Yusufu Manji , Japo kesi iliyovutia Wengi ilimhusu Mfadhili wa Yanga Yusufu Manji , ambaye mpaka sasa vipimo vyake vya mkojo havijulikani majibu yake ,
Hata hivyo Yusufu Manji aliyekuwa na matatizo ya Moyo na huku akitibiwa Marekani na Muhimbili madaktari wake waliithibitishia Mahakama kwamba kwa afya aliyonayo isingewezekana Kutumia Madawa ya kulevya , Kwa niaba ya Jopo la Madaktari hao Profesa Janabi alileta nyaraka Mahakamani zilizothibisha kwamba kwa Tatizo la Moyo alilokuwa nalo Bwana Manji asingeweza kula Unga , na kama angefanya hivyo angekufa , Mahakama ilipokea vielelezo hivyo kama ushahidi .
Kesi za akina Gwajima , TID , Nyandu Tozi , Wema Sepetu na wengine hazikufahamika zilikoishia , Na wala haikuwahi kufahamika kwanini Mbowe na Riziwan Kikwete hawakukamatwa wala kushitakiwa hadi leo , Mbowe alidaiwa kuitumia Club Bilicanas kuuzia Unga huo , huku haikujulikana kama Riziwani yeye alikuwa anauzia Chalinze au kwingine .
View attachment 2950321
Mwisho tunatoa wito kwa Viongozi wa kuteuliwa kuacha kuchafua watu kwa sababu zao binafsi , huwezi kuwataja watu kwenye tuhuma nzito namna hiyo halafu ukashindwa kuwafikisha Mahakamani , Nani atawasafisha ?
Kwa kumalizia japo si kwa umuhimu tunawashukuru wadau wate wa JF waliotufuatilia kwenye makala zetu kabambe za Mwezi wa Mungu , tunaamini kwamba makala hizi zimewafunza Jambo , Siku zote tutambue kwamba Madaraka ni dhamana ya muda mfupi tu tujitahidi kuyatumia kwa haki .
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO .
Mkuu kama kweli wewe ni wa Dar huwajui waingiza unga Tanzania ? kwanini walitajwa wasiohusika huku majina halali yakiachwa ? Muogope Mungu mkuuWee muuza madawa ya kulevya, tuliza.
Makonda alikua hakurupuki, alikua Mwenyekiti wa usalama Wilaya, Mkoa, kwahiyo ana taarifa zote.
Kinachomtofautisha na waliopita nikwamba yeye alikua na uthubutu wa kuwataja hadharani.
Unataka kuniua ? Utakuwa unanionea tu mkuu , niache niishi bhana , kwani nimeandika uongo ? Usiniue Mkuu nina familia inanitegemea , naomba sana !Bora ufe tu, hakuna haja ya mjinga kama wewe kuendelea kuishi kwenye nchi nzuri kama hii. Mjinga kama wewe ni hasara kwa wazazi wako na mtaji wa kwa matapeli ya kisiasa
Lema karudishwa nchini na shemeji yake Nchemba 🐼Wengine 19?
Jibu swali , unarukaruka nini ?Lema karudishwa nchini na shemeji yake Nchemba 🐼
Lema karudishwa nchini na shemeji yake NchembaWengine 19?
Majambazi yote ya upinzani yanaishi kwa mikataba 🐼Jibu swali , unarukaruka nini ?
Wadanganye wajinga wenzioLema karudishwa nchini na shemeji yake Nchemba
Majambazi yote ya upinzani yanaishi kwa mikataba 🐼
Watoto wadogo nyie hamna mlijualo
2025 Mbowe atakapowekewa Pingamizi la Ugaidi huko Machame ndio Utajua Hujui 🐼Wadanganye wajinga wenzio
Wadanganye wajinga sana2025 Mbowe atakapowekewa Pingamizi la Ugaidi huko Machame ndio Utajua Hujui 🐼
Umelipwa kiasi gani? Maana kila mtanzania anajua wauza madawa tena kwa majina na kuna mwingine kachinjwa huko ng’ambo kisa kawekwa bondi. Hivyo unajifurahisha tu ila ukweli unajulikana na Paul Makonda ni hazina ya taifa!Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na wauzaji wa madawa ya kulevya Nchini Tanzania .
Katika kampeni yake hiyo alishirikiana kikamilifu na Simon Sirro aliyekuwa RPC wa DSM , Makonda aliungwa mkono na Vyombo vyote vya Habari vya Tanzania , ikiwemo Clouds Media aliyotuhumiwa kuivamia kwa Bunduki usiku wa manane , huku vyombo hivyo vikirusha live upuuzi wake ule bila hata kuhariri .
Waliotajwa kuhusika na Biashara hiyo bila Ushahidi wowote ni Yusufu Manji , aliyedaiwa kuwa pamoja na kuuza unga pia anabwia , Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima , Wema Sepetu , Riziwan Kikwete , Nyandu Tozi , Mwanamuziki TID , Freeman Mbowe na wengine wengi tu , Miongoni mwa waliokamatwa ni Josephat Gwajima , TID , NYANDU TOZI na Yusufu Manji , Japo kesi iliyovutia Wengi ilimhusu Mfadhili wa Yanga Yusufu Manji , ambaye mpaka sasa vipimo vyake vya mkojo havijulikani majibu yake ,
Hata hivyo Yusufu Manji aliyekuwa na matatizo ya Moyo na huku akitibiwa Marekani na Muhimbili madaktari wake waliithibitishia Mahakama kwamba kwa afya aliyonayo isingewezekana Kutumia Madawa ya kulevya , Kwa niaba ya Jopo la Madaktari hao Profesa Janabi alileta nyaraka Mahakamani zilizothibisha kwamba kwa Tatizo la Moyo alilokuwa nalo Bwana Manji asingeweza kula Unga , na kama angefanya hivyo angekufa , Mahakama ilipokea vielelezo hivyo kama ushahidi .
Kesi za akina Gwajima , TID , Nyandu Tozi , Wema Sepetu na wengine hazikufahamika zilikoishia , Na wala haikuwahi kufahamika kwanini Mbowe na Riziwan Kikwete hawakukamatwa wala kushitakiwa hadi leo , Mbowe alidaiwa kuitumia Club Bilicanas kuuzia Unga huo , huku haikujulikana kama Riziwani yeye alikuwa anauzia Chalinze au kwingine .
View attachment 2950321
Mwisho tunatoa wito kwa Viongozi wa kuteuliwa kuacha kuchafua watu kwa sababu zao binafsi , huwezi kuwataja watu kwenye tuhuma nzito namna hiyo halafu ukashindwa kuwafikisha Mahakamani , Nani atawasafisha ?
Kwa kumalizia japo si kwa umuhimu tunawashukuru wadau wate wa JF waliotufuatilia kwenye makala zetu kabambe za Mwezi wa Mungu , tunaamini kwamba makala hizi zimewafunza Jambo , Siku zote tutambue kwamba Madaraka ni dhamana ya muda mfupi tu tujitahidi kuyatumia kwa haki .
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO .
Mkuu habari za kolomijeUmelipwa kiasi gani? Maana kila mtanzania anajua wauza madawa tena kwa majina na kuna mwingine kachinjwa huko ng’ambo kisa kawekwa bondi. Hivyo unajifurahisha tu ila ukweli unajulikana na Paul Makonda ni hazina ya taifa!
Uongo mtupuLema karudishwa nchini na shemeji yake Nchemba
Majambazi yote ya upinzani yanaishi kwa mikataba 🐼
Watoto wadogo nyie hamna mlijualo
Sihusiani kabisa na hayo maeneo mi nipo Delmont USA, mtaa wa Nevielle, nuumba namba ….Mkuu habari za kolomije
stupidBills palijaa wauza ngada 🐼
Mwigullu alitamka Kanisani Moshi mbele ya Lema mwenyewe, Mbowe, Halima , Bulaya, Sanga, Mchungaji Kimaro na baba askofu Dr Shoo kwamba wao ndio wamemrudisha Lema nyumbani Baada ya kuwa amewaomba Misaada waoUongo mtupu