Utawala wa Awamu ya 5, Paulo Makonda alisingizia Watu kuuza Madawa ya kulevya bila Ushahidi wowote. Alilenga kuwadhalilisha tu

Paul Makonda ni moja kati ya watu washenzi kuwahi kupewa madaraka makubwa sana nchi hii.
 
Shirima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma sana !
 
Lakini si unaona ameteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ??!
Hapo unasemaje ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…