johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uliwahi kupajua? 😂😂🔥stupid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kupajua? 😂😂🔥stupid
Paul Makonda ni moja kati ya watu washenzi kuwahi kupewa madaraka makubwa sana nchi hii.Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na wauzaji wa madawa ya kulevya Nchini Tanzania .
View attachment 2950390
Katika kampeni yake hiyo alishirikiana kikamilifu na Simon Sirro aliyekuwa RPC wa DSM , Makonda aliungwa mkono na Vyombo vyote vya Habari vya Tanzania , ikiwemo Clouds Media aliyotuhumiwa kuivamia kwa Bunduki usiku wa manane , huku vyombo hivyo vikirusha live upuuzi wake ule bila hata kuhariri .
Waliotajwa kuhusika na Biashara hiyo bila Ushahidi wowote ni Yusufu Manji , aliyedaiwa kuwa pamoja na kuuza unga pia anabwia , Idd Azan , Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima , Wema Sepetu , Riziwan Kikwete , Nyandu Tozi , Mwanamuziki TID , Freeman Mbowe na wengine wengi tu , Miongoni mwa waliokamatwa ni Josephat Gwajima , TID , NYANDU TOZI na Yusufu Manji , Japo kesi iliyovutia Wengi ilimhusu Mfadhili wa Yanga Yusufu Manji , ambaye mpaka sasa vipimo vyake vya mkojo havijulikani majibu yake ,
Hata hivyo Yusufu Manji aliyekuwa na matatizo ya Moyo na huku akitibiwa Marekani na Muhimbili madaktari wake waliithibitishia Mahakama kwamba kwa afya aliyonayo isingewezekana Kutumia Madawa ya kulevya , Kwa niaba ya Jopo la Madaktari hao Profesa Janabi alileta nyaraka Mahakamani zilizothibisha kwamba kwa Tatizo la Moyo alilokuwa nalo Bwana Manji asingeweza kula Unga , na kama angefanya hivyo angekufa , Mahakama ilipokea vielelezo hivyo kama ushahidi .
Kesi za akina Gwajima , TID , Nyandu Tozi , Wema Sepetu na wengine hazikufahamika zilikoishia , Na wala haikuwahi kufahamika kwanini Mbowe na Riziwan Kikwete hawakukamatwa wala kushitakiwa hadi leo , Mbowe alidaiwa kuitumia Club Bilicanas kuuzia Unga huo , huku haikujulikana kama Riziwani yeye alikuwa anauzia Chalinze au kwingine .
View attachment 2950321
Mwisho tunatoa wito kwa Viongozi wa kuteuliwa kuacha kuchafua watu kwa sababu zao binafsi , huwezi kuwataja watu kwenye tuhuma nzito namna hiyo halafu ukashindwa kuwafikisha Mahakamani , Nani atawasafisha ?
Kwa kumalizia japo si kwa umuhimu tunawashukuru wadau wate wa JF waliotufuatilia kwenye makala zetu kabambe za Mwezi wa Mungu , tunaamini kwamba makala hizi zimewafunza Jambo , Siku zote tutambue kwamba Madaraka ni dhamana ya muda mfupi tu tujitahidi kuyatumia kwa haki .
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO .
Shirima 😂😂😂😂Najiuliza ile sauti ya kuwafokea Mawaziri na Wakuu wa mikoa itakuaje? Nakumbuka ile siku amemuita RC Dodoma "We Mkuu wa mkoa njoo hapa kwa kukimbia". Mama wa watu akatii mamlaka na kukimbia kama yupo Kili Marathon. Najiuliza iile misafara ya magari 40 itakuaje? Je ile hofu ya wakuu wa mikoa wakisikia Mwenezi anaenda kwao itakuaje? Anyway cheo ni kama koti la kuazima, leo liko kwako kesho kwa mwingine. Anywaya Shirima kanyang'anywa "Hennessy" kapewa "Banana" Tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini.!
Naelewa unamtetea shemejio! Kwa io kuwa huru chiefWee muuza madawa ya kulevya, tuliza.
Makonda alikua hakurupuki, alikua Mwenyekiti wa usalama Wilaya, Mkoa, kwahiyo ana taarifa zote.
Kinachomtofautisha na waliopita nikwamba yeye alikua na uthubutu wa kuwataja hadharani.
Noma sana !Najiuliza ile sauti ya kuwafokea Mawaziri na Wakuu wa mikoa itakuaje? Nakumbuka ile siku amemuita RC Dodoma "We Mkuu wa mkoa njoo hapa kwa kukimbia". Mama wa watu akatii mamlaka na kukimbia kama yupo Kili Marathon. Najiuliza iile misafara ya magari 40 itakuaje? Je ile hofu ya wakuu wa mikoa wakisikia Mwenezi anaenda kwao itakuaje? Anyway cheo ni kama koti la kuazima, leo liko kwako kesho kwa mwingine. Anywaya Shirima kanyang'anywa "Hennessy" kapewa "Banana" Tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini.!
Lakini si unaona ameteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ??!Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na wauzaji wa madawa ya kulevya Nchini Tanzania .
View attachment 2950390
Katika kampeni yake hiyo alishirikiana kikamilifu na Simon Sirro aliyekuwa RPC wa DSM , Makonda aliungwa mkono na Vyombo vyote vya Habari vya Tanzania , ikiwemo Clouds Media aliyotuhumiwa kuivamia kwa Bunduki usiku wa manane , huku vyombo hivyo vikirusha live upuuzi wake ule bila hata kuhariri .
Waliotajwa kuhusika na Biashara hiyo bila Ushahidi wowote ni Yusufu Manji , aliyedaiwa kuwa pamoja na kuuza unga pia anabwia , Idd Azan , Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima , Wema Sepetu , Riziwan Kikwete , Nyandu Tozi , Mwanamuziki TID , Freeman Mbowe na wengine wengi tu , Miongoni mwa waliokamatwa ni Josephat Gwajima , TID , NYANDU TOZI na Yusufu Manji , Japo kesi iliyovutia Wengi ilimhusu Mfadhili wa Yanga Yusufu Manji , ambaye mpaka sasa vipimo vyake vya mkojo havijulikani majibu yake ,
Hata hivyo Yusufu Manji aliyekuwa na matatizo ya Moyo na huku akitibiwa Marekani na Muhimbili madaktari wake waliithibitishia Mahakama kwamba kwa afya aliyonayo isingewezekana Kutumia Madawa ya kulevya , Kwa niaba ya Jopo la Madaktari hao Profesa Janabi alileta nyaraka Mahakamani zilizothibisha kwamba kwa Tatizo la Moyo alilokuwa nalo Bwana Manji asingeweza kula Unga , na kama angefanya hivyo angekufa , Mahakama ilipokea vielelezo hivyo kama ushahidi .
Kesi za akina Gwajima , TID , Nyandu Tozi , Wema Sepetu na wengine hazikufahamika zilikoishia , Na wala haikuwahi kufahamika kwanini Mbowe na Riziwan Kikwete hawakukamatwa wala kushitakiwa hadi leo , Mbowe alidaiwa kuitumia Club Bilicanas kuuzia Unga huo , huku haikujulikana kama Riziwani yeye alikuwa anauzia Chalinze au kwingine .
View attachment 2950321
Mwisho tunatoa wito kwa Viongozi wa kuteuliwa kuacha kuchafua watu kwa sababu zao binafsi , huwezi kuwataja watu kwenye tuhuma nzito namna hiyo halafu ukashindwa kuwafikisha Mahakamani , Nani atawasafisha ?
Kwa kumalizia japo si kwa umuhimu tunawashukuru wadau wate wa JF waliotufuatilia kwenye makala zetu kabambe za Mwezi wa Mungu , tunaamini kwamba makala hizi zimewafunza Jambo , Siku zote tutambue kwamba Madaraka ni dhamana ya muda mfupi tu tujitahidi kuyatumia kwa haki .
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO .
Siasa siooo
Nitasema tuLakini si unaona ameteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ??!
Hapo unasemaje ??!
Jamaa ana bahati sana !!Nitasema tu