Utawala wa Samia: Siku 100 za Matumaini na zilizobaki za giza

Utawala wa Samia: Siku 100 za Matumaini na zilizobaki za giza

Tusipindishe maneno mzee kikwete anasauti sana kwa rais samia angalia hata teuzi zake kwa bara wengi ni watu wa kikwete wanaoteuliwa,wanaobaki nikutoka huko nchi ya Zanzibar angalia ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambayo angalia wahalifu wanaoachiwa kwa makosa ya ufisadi
 
Inasemekana kuwa akina Diwani na Majaliwa wanamuingiza chaka.

Inasemekana wanajaribu kumuweka mbali na JK wakati angeweza kupata ushauri mzuri sana wa kuongoza nchi kutoka kwa mzee wa Msoga...
Ange fanya yote ila asingegusa maisha ya watu wa chini huo ndo mtaji wa CCM, Tozo la miamala kodi ya nyumba kupitia luku kajimaliza mwenyewe kujisafisha itamgharimu sanaa.
 
Tusipindishe maneno mzee kikwete anasauti sana kwa rais samia angalia hata teuzi zake kwa bara wengi ni watu wa kikwete wanaoteuliwa,wanaobaki nikutoka huko nchi ya Zanzibar angalia ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambayo angalia wahalifu wanaoachiwa kwa makosa ya ufisadi
Labda mwanzoni mwa utawala wake, ila sasa hivi crooks ndani ya kitengo ndo wanasimamia show
 
Amegusa maisha ya watz lzm tumuone kundi moja na mtoa roho
 
Back
Top Bottom